Nadhani kuwaweka Adam na B12 pamoja kwenye kipindi chenye maudhui serious ambayo ni tofauti kabisa na maudhui waliyozoea kwa miaka yao yote kazini kama watangazaji wa burudani haikuwa idea nzuri sana
Dj Fetty alianza Jahaza kabla hajapelekwa PB, alipikwa pale na G habash na Bantu halafu kule PB akaenda kukutana na kipanya na wenzake na aka fit mapema sana
B12 na Mchonvu wanampa tabu sana Bantu kutafuta chemistry kwenda na maudhui mapya kwao.
Mchonvu ni comedian, B12 mweupe sana kichwani kwenye kuchambua mambo ya kijamii
Bantu ni mzuri sana kuongoza kipindi na kuchokoza mada ambazo Kibode na Gardiner walikua wanaua sana halafu Bantu anabaki kucheka na kuwazimia mic wakizidisha.
Yaani angalau Mchonvu utaburudika kidogo kama unapenda comedy zake, B12 anajiuma uma tu
Nimemuona PJ karudi 360, wangemtoa B12 akae PJ
Tuwape muda