B 12 na Adam Mchomvu wanaitendea haki Jahazi?

B 12 na Adam Mchomvu wanaitendea haki Jahazi?

Wangepata mtu mmoja2 mwenye knowledge ya masuala ya Kisiasa kama Charles William Wa Wasafi..aaf wenyewe wakawa wachomekeaji2 ingekaa poa mno..AD+ Umwambie mambo Ya NCCR Mageuzi sijui Katiba Dooh
 
Nadhani kuwaweka Adam na B12 pamoja kwenye kipindi chenye maudhui serious ambayo ni tofauti kabisa na maudhui waliyozoea kwa miaka yao yote kazini kama watangazaji wa burudani haikuwa idea nzuri sana

Dj Fetty alianza Jahaza kabla hajapelekwa PB, alipikwa pale na G habash na Bantu halafu kule PB akaenda kukutana na kipanya na wenzake na aka fit mapema sana

B12 na Mchonvu wanampa tabu sana Bantu kutafuta chemistry kwenda na maudhui mapya kwao.
Mchonvu ni comedian, B12 mweupe sana kichwani kwenye kuchambua mambo ya kijamii
Bantu ni mzuri sana kuongoza kipindi na kuchokoza mada ambazo Kibode na Gardiner walikua wanaua sana halafu Bantu anabaki kucheka na kuwazimia mic wakizidisha.
Yaani angalau Mchonvu utaburudika kidogo kama unapenda comedy zake, B12 anajiuma uma tu

Nimemuona PJ karudi 360, wangemtoa B12 akae PJ

Tuwape muda
 
Aisee.. watu muda muda bado mnasikiliza hivyo vipindi?
Nasikiliza zaidi radio Asubuhi wakati nakwenda mihangaikoni na jioni wakati narudi maskani
Hapo unaongelea vipindi vya asubuhi na vipindi vya jioni
Kwa clouds fm hapo ni PB asubuhi na Jahazi jioni
 
Toa b 12 na adam mchomvu rudisha xxl kwenye kipindi cha watoto wanao balehe masela mavi wa arusha wanafaa sana kwenye vipindi vya mchana vinavyosikilizwa na teens.

Bakisha geoge bantu, ongeza joram nkumbi, muweke john dilinga matlou akizingua weka michael baruti.
Ruben ndege tangu ashike kijiti hawjaweza tengeneza dream timu ya kipindi chochote.
 
Wangepata mtu mmoja2 mwenye knowledge ya masuala ya Kisiasa kama Charles William Wa Wasafi..aaf wenyewe wakawa wachomekeaji2 ingekaa poa mno..AD+ Umwambie mambo Ya NCCR Mageuzi sijui Katiba Dooh

Charles Williiam na Samson Charles ni Balaa sana kwenye siasa ,Combination yao pale EA radio ilikuwa Fire sana.
 
Back
Top Bottom