kwani imeandikwa sehemu ni dhambi mwanamke kumshinda mwanaume, mwache ashinde tu wala sina tatizo naye, sijui wewe unatakaje ndugu yanguMimi sikufatilii nakuona ukifanya huu ujinga nahurumia maisha yako... 3/4 ya post zako humu JF umezielekeza jukwaa hili, ni JF ndio inasema hivyo sio mimi.. Jitathmini upya kijana, hata Nifah anakushinda yeye pamoja na kuwa mtoto wa kike ila kwenye michezo yupo, siasa yupo, anajadili issues..
Na wala sina shida nao dogo.. Au wewe unausaka nikusaidie kuupata.. We have been enjoying that spotlight for a long damn time kijana.. Tena sio huo uceleb wenu wa kinondoni na magomeni..hata wewe ukiwa celeb. nitakujadili, jitahidi!!!
Ninataka ubadilike kama Magufuli anavyotaka vijana mbadilike... Acha kukaa saluni hapo Kinondoni mwisho utaishia kula dawa upotee.. Acheni kuendeleza majimama..kwani imeandikwa sehemu ni dhambi mwanamke kumshinda mwanaume, mwache ashinde tu wala sina tatizo naye, sijui wewe unatakaje ndugu yangu
kumbe hujui unachoongea, unaguess tu!Ninataka ubadilike kama Magufuli anavyotaka vijana mbadilike... Acha kukaa saluni hapo Kinondoni mwisho utaishia kula dawa upotee.. Acheni kuendeleza majimama..
Kijana wa aina yako ni very predictable.. Hicho kipindi mnachoongelewa kinarushwa mchana mpaka saa 10.. Sasa wewe huo muda wa kusikiliza kila siku unaupata wapi?? Mwanafunzi anakuwa darasani, Mfanyakazi anakuwa kazini, wewe unakuwa wapi?? Au ni muuza bar au ni dereva wa daladala??kumbe hujui unachoongea, unaguess tu!
wewe ndo unakariri maisha, kama kazi yako haikuruhusu ni wewe sio lazima wote tufanye kazi hizo, hivi mtu mwenye kibanda cha mpesa kuna ubaya gani akisikiliza radio mchana, au muuza duka, au mdada wa stationery au bodaboda au.. au..Kijana wa aina yako ni very predictable.. Hicho kipindi mnachoongelewa kinarushwa mchana mpaka saa 10.. Sasa wewe huo muda wa kusikiliza kila siku unaupata wapi?? Mwanafunzi anakuwa darasani, Mfanyakazi anakuwa kazini, wewe unakuwa wapi?? Au ni muuza bar au ni dereva wa daladala??
Kwahiyo wewe ni wakala au bodaboda?? Kama ni bodaboda au wakala alafu unafatilia maisha ya watu utakuwa na matatizo piawewe ndo unakariri maisha, kama kazi yako haikuruhusu ni wewe sio lazima wote tufanye kazi hizo, hivi mtu mwenye kibanda cha mpesa kuna ubaya gani akisikiliza radio mchana, au muuza duka, au mdada wa stationery au bodaboda au.. au..
ningekuwa nani ili isiwe matatizo???Kwahiyo wewe ni wakala au bodaboda?? Kama ni bodaboda au wakala alafu unafatilia maisha ya watu utakuwa na matatizo pia
Ameteuliwa kuwa baloziSo fetty amefukuzwa clouds au..???
Ameteuliwa kuwa balozi
Hawa ndio wameacha kucheza pool table sasa wanabadili channel za radioHivi hiko kipindi si bado kinatangazwa mchana?? Mnakisikilizaje sasa?? Au nyinyi ni jobless hamna shughuli za kufanya mnashinda nyumbani kukata nyanya na dada zenu huku mkusikiliza hao wapuuzi??
Kama mwenzake chiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiDNinataka ubadilike kama Magufuli anavyotaka vijana mbadilike... Acha kukaa saluni hapo Kinondoni mwisho utaishia kula dawa upotee.. Acheni kuendeleza majimama..
aibu yakoUkiona unafanya kazi kwa mhindi akaja muhindi mwenzake akasema umfundishe kazi ujue baada ya mwaka mmoja huyo mhindi ndio atakuwa boss wako.
Kuna dogo anaitwa Kennedy The Remedy huwa anatangaza XXL na B Twelve, B 12 ndio anayemfundisha kazi. Kiufupi ni kwamba huyu dogo ndio anaandaliwa ili kumuondoa B twelve kwenye XXL, ni lazima ufikiri ili uelewe hili ninalolizungumza. B Twelve kama atakaa sana pale XXL basi mwaka ujao ndio mwisho na Kennedy The Remedy atakuja kuwa mtangazaji hiyo show. Rejea kilichomkuta Dina Marios
Wapo watakaopinga lakini naomba thread hii ibaki kama reference.
Okayah wapi dogo
Hivi wewe jamaa bado upo JF?Ukiona unafanya kazi kwa mhindi akaja muhindi mwenzake akasema umfundishe kazi ujue baada ya mwaka mmoja huyo mhindi ndio atakuwa boss wako.
Kuna dogo anaitwa Kennedy The Remedy huwa anatangaza XXL na B Twelve, B 12 ndio anayemfundisha kazi. Kiufupi ni kwamba huyu dogo ndio anaandaliwa ili kumuondoa B twelve kwenye XXL, ni lazima ufikiri ili uelewe hili ninalolizungumza. B Twelve kama atakaa sana pale XXL basi mwaka ujao ndio mwisho na Kennedy The Remedy atakuja kuwa mtangazaji hiyo show. Rejea kilichomkuta Dina Marios
Wapo watakaopinga lakini naomba thread hii ibaki kama reference.