Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,666
- 12,178
kwani imeandikwa sehemu ni dhambi mwanamke kumshinda mwanaume, mwache ashinde tu wala sina tatizo naye, sijui wewe unatakaje ndugu yanguMimi sikufatilii nakuona ukifanya huu ujinga nahurumia maisha yako... 3/4 ya post zako humu JF umezielekeza jukwaa hili, ni JF ndio inasema hivyo sio mimi.. Jitathmini upya kijana, hata Nifah anakushinda yeye pamoja na kuwa mtoto wa kike ila kwenye michezo yupo, siasa yupo, anajadili issues..