Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mnyama mkaliMnyama mkali Robidinyo huko na maoni gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnyama mkaliMnyama mkali Robidinyo huko na maoni gani?
For the first time nasikia nao wanafanya promotion za matangazo.Clouds inapitia wakat mgumu sa hv huo ndo ukweli angekuwepo financial manager wa clouds humu angetupa ukwel wa mambo jins statistics za mapato zinavyotrend tangu robo ya tatu mwaka Jana mpak sa hv .....
Aiseeaibu yako
Kabla ya hapo walikuwa wanafanya biashara ganiFor the first time nasikia nao wanafanya promotion za matangazo.
For the first time nasikia nao wanafanya promotion za matangazo.
Mzee unaweza kujichosha tu na hawa watu, Sijui wanatumia kiungo gani kufikiliKabla ya hapo walikuwa wanafanya biashara gani
Happy hour ilikuwa ni offer ya wajasiliamali wadogo, na ilikuwa na deadline na ni bahati mbaya deadline imeisha. Na pia biashara yao ni matangazo, uliamini kuwa itafika wakati wataacha kutafuta matangazo?Aisee ni kweli kabisa, hata mimi nimesikia wakifanya promo ya kukaribisha matangazo.
Hii ni kiashiria kwamba sasa hv mpambano dhidi ya media zngne ni nguo kuchanika
Hahaaa hii imegeuka na kuwa aibu yako weweaibu yako
Sio mpambano wa media tu hata makampuni mengi yamepunguza bajeti zao za matangazo ndio maana siku hizi standards zimeshushwa ili kupata pesa zaidiAisee ni kweli kabisa, hata mimi nimesikia wakifanya promo ya kukaribisha matangazo.
Hii ni kiashiria kwamba sasa hv mpambano dhidi ya media zngne ni nguo kuchanika
Hv Dina marius alikua anatangaza kpnd gan???Uliona mbal mkuu
Leo tenaHv Dina marius alikua anatangaza kpnd gan???
We umejuaje nawe sio financial manager wa hapo clouds....?Clouds inapitia wakat mgumu sa hv huo ndo ukweli angekuwepo financial manager wa clouds humu angetupa ukwel wa mambo jins statistics za mapato zinavyotrend tangu robo ya tatu mwaka Jana mpak sa hv .....
Unaweza kuwauliza wao hapo. Mimi wala sijui.Kabla ya hapo walikuwa wanafanya biashara gani