Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,472 Reaction score 6,391 Sep 30, 2021 #21 Said S Yande said: Zile tumeweka tigo pesa Click to expand... Hahaha
Mwanamaji JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,905 Reaction score 4,518 Sep 30, 2021 #22 Tate Mkuu said: Wewe ukitaka uingie kwenye mtafaruku na Moo pamoja na chawa wake, basi jaribu tu kuhoji zilipo hizo bilioni 20! Click to expand... Ameweka kwenye BENKI YA DAMU pale Mloganzila. Anayetaka kuziona anakaribishwa sana, muda wa kazi ni Jumatatu hadi Ijumaa saa mbili asubuhi hadi saa kumi jioni.
Tate Mkuu said: Wewe ukitaka uingie kwenye mtafaruku na Moo pamoja na chawa wake, basi jaribu tu kuhoji zilipo hizo bilioni 20! Click to expand... Ameweka kwenye BENKI YA DAMU pale Mloganzila. Anayetaka kuziona anakaribishwa sana, muda wa kazi ni Jumatatu hadi Ijumaa saa mbili asubuhi hadi saa kumi jioni.
Mbishi Uswazi Senior Member Joined Feb 7, 2020 Posts 170 Reaction score 315 Sep 30, 2021 #23 Insigne said: Basi watu wataendelea kuhoji swala hilo mpaka mpaka aonyeshe bank alideposit hiyo pesa Click to expand... Kwamba unakomaa aonyeshe kama vile ni mkewe unataka uwe na uhakika na urithi?
Insigne said: Basi watu wataendelea kuhoji swala hilo mpaka mpaka aonyeshe bank alideposit hiyo pesa Click to expand... Kwamba unakomaa aonyeshe kama vile ni mkewe unataka uwe na uhakika na urithi?
kenshi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 1,976 Reaction score 1,968 Sep 30, 2021 #24 Nayale mabasi mapya, mbumbumbu hawana muda wakuhoji yanayoendelea
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 22,719 Reaction score 40,739 Sep 30, 2021 #25 Okwi Boban Sunzu anajua imewekwa Bank gani,maana ni yeye ndio aliembebea Mwamedi lile bango la cheki hewa.
Okwi Boban Sunzu anajua imewekwa Bank gani,maana ni yeye ndio aliembebea Mwamedi lile bango la cheki hewa.