juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
ifike stage sote tukue ni boooooooonge la ngoma ajabu ni sauti za hatari ! ole ole ole ole oleo oooooooh nifanye nn ...nisamehe .....kiba sasa.......i want to back am sorry baby ah..........acheni tu
[emoji2] mkuu mbona unajiteteaSasa kama kitu ni kipya na kina tambulishwa sokoni angetumia neno gani kwa mfano! Hapo haikua kwenye mashindano useme angeharibu kura au anapendelea. .... Nimejibu tu lkn mimi sio msikilizaji wa kipindi chake[emoji119]
Nyie ndio mnaosababisha tuishie hapahapa bongo kwa nyimbo mbofumbofu kama hizo afu mnazipendaUlitaka asemeje?Of course ni bonge la ngoma na ndio nalisikiliza hapa sasa hivi na siuchoki.
Wivu tu unakusumbua.
chezea king wa masauti TZ ni nomah eti !I want you back...
Uwiiiii Kiba katisha kinoma.
Halafu nimeshtuka Baraka kampa Kiba kipande kidogo akihofia asifunikwe,still kafunikwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Mi sina team wewe tuheshimianeTeam mond povu vepee
Nyimbo ni mbaya sana ileKwa mbwembwe nlizozickia leo za b12 na nlvyokuja kuuckia wimbo are inversely proportional. Hlf ukikipamba ki2 sn hlf kikaja tofaut inakaa km umemwagiwa maji ya baridi. Teh