juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Jamaa ana katabia fulani ka ajabu sana.ni mtangazaji mzuri sana tena sana.ila huwa anakera sana inapotokea anaitambulisha ngoma ya msanii hasa yule ambaye anampenda yeye.utamsikia "...anatambulisha bonge la ngoma leo,ni ngoma kali kinoma",hata leo wakati anaitambulisha ngoma ya Baraka na Ally akasema "jamaa wana bonge moja la ngoma".sasa hivi aliekwambia kwamba hiyo ngoma ni kali ni nani? Au kazi ya mtangazaji ni kusifia nyimbo na sio kuitambulisha kwa wasikilizaji? Nadhani ni vyema angetuacha sisi kama mashabiki tuamue kama ni nzuri au laa,na sio yeye kusifia.