B DOZEN wa clouds huu si utangazaji hata kidogo

Tatizo watu wana jini mahaba inapokuja kwenye suala la wasanii nina amani hii nyimbo asingalishilikishwa kiba tungetoa negative comments kisa kiba yupo ndan mnaitetea kua ni nzur ukweli kiba kaitendea haki kipande chake ila ukweli bila kupepesa macho nyimbo ni ya kawaida sana prince amerudi atua 3 nyuma kwenye hii ngoma mkatae mkubali
 
ndio maana ya utangazaji
huwezi kusema ngoma mbaya kwa sababu wewe ni mtangazaji/ mpambaji na sio hakimu..
 

Umetisha mwanangu..hii ni hating at its truest form
 
Aiseee bado tunasafari ndefu sana na tabia ya kukosoa kosoa kila kitu itatumaliza
 
Jana nilikuwa sija isikiliza wimbo hiyo, lakini ki ukweli si nzuri ni ya kawaida mnooo, leo ndio nime iskia ni very normal
 
I want you back...
Uwiiiii Kiba katisha kinoma.
Halafu nimeshtuka Baraka kampa Kiba kipande kidogo akihofia asifunikwe,still kafunikwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuona mama mwenye mahaba na kiba sio kwa kimsifia huku ila bonge la ngoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…