Akilibandia
JF-Expert Member
- Aug 1, 2015
- 477
- 636
Hapa ndo jukwaa lake, celebrities na mambo yao hujadiliwa huku.yaan great thinkers ndo tunajadili hoja hii???@kupatwa kwa thread
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndo jukwaa lake, celebrities na mambo yao hujadiliwa huku.yaan great thinkers ndo tunajadili hoja hii???@kupatwa kwa thread
Utupie hapa basi...Ulitaka asemeje?Of course ni bonge la ngoma na ndio nalisikiliza hapa sasa hivi na siuchoki.
Wivu tu unakusumbua.
Jamaa ana katabia fulani ka ajabu sana.ni mtangazaji mzuri sana tena sana.ila huwa anakera sana inapotokea anaitambulisha ngoma ya msanii hasa yule ambaye anampenda yeye.utamsikia "...anatambulisha bonge la ngoma leo,ni ngoma kali kinoma",hata leo wakati anaitambulisha ngoma ya Baraka na Ally akasema "jamaa wana bonge moja la ngoma".sasa hivi aliekwambia kwamba hiyo ngoma ni kali ni nani? Au kazi ya mtangazaji ni kusifia nyimbo na sio kuitambulisha kwa wasikilizaji? Nadhani ni vyema angetuacha sisi kama mashabiki tuamue kama ni nzuri au laa,na sio yeye kusifia.
acha kukaririyaan great thinkers ndo tunajadili hoja hii???@kupatwa kwa thread
kumbe kuna wakati mwerevu huwa mjinga kwa kuamua mwenyewe??acha kukariri
Nakuona mama mwenye mahaba na kiba sio kwa kimsifia huku ila bonge la ngomaI want you back...
Uwiiiii Kiba katisha kinoma.
Halafu nimeshtuka Baraka kampa Kiba kipande kidogo akihofia asifunikwe,still kafunikwa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa alibyosema kalo na Kwako umeiona ya kawaida umepungukiwa na nini..?
Hata hivo watu mmenielewa vibaya,mi nakosoa jamaa anaposifia wakti kazi yake ni kuitangaza tuUmetisha mwanangu..hii ni hating at its truest form
Wimbo ni mbovu sanaNineupakua kupitia thread moja ipo humu mkuu.
Too bad siwezi kukuwekea link,itafute.