B DOZEN wa clouds huu si utangazaji hata kidogo

Mbona unahangaika sana na wimbo huu? unajaribu kuconvise watu wakubaliane nawe utafikiri kwa kufanya hivyo kuna manufaa yeyote utayapata! thread ngapi umeanzisha kuhusu wimbo huu? kama wewe umeona mbaya yatosha, kwanini unahangaika?
 
povuuuu kwakooo
 
Amna usimlaumu b. Dozn ile nyimbo Imepew promo sana kiasi kwamba tulijua unakuja moto wa hatari kumbe nyimbo yA mazishi [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

walijua ni mazishiiiii
 
Mbona unahangaika sana na wimbo huu? unajaribu kuconvise watu wakubaliane nawe utafikiri kwa kufanya hivyo kuna manufaa yeyote utayapata! thread ngapi umeanzisha kuhusu wimbo huu? kama wewe umeona mbaya yatosha, kwanini unahangaika?
Mkuu ukisoma hii thread sijaizungumzia nyimbo bali ilikuwa kama mfano tu,na ndio maana hakuna nilipoikosoa kwamba ni mbaya,ila kutokana na ubovu wa wimbo imekuwa kama ni thread yake.ila hapa nilikuwa nakosoa utangazaji wa b dozen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…