Hii post imenifanya nitembelee website ya chuo cha MUM. Kusema kweli kama sio bora na hawa ndugu wawe na chuo sioni sababu ya kukipa hiki chuo usajili. Naongea ukweli naomba wengine muangalie link hiyo hapo chini
Muslim University of Morogoro
Hivi chuo kikuu Deans of Faculties wote ni Ag. (Acting) halafu wote ni Assistant Lecturers (Masters)! PhD chuo kizima nimehesabu sita 6 labda wengine mnisaidie kuhesabu.
wanafanya vizuri ktk ajira,,wana walimu bora,,pia ktk masomo ya postgraduate wanafanya vema sana...mmoja wapo ni mimi
kuliko kukosa AKILI bora kukosa mali.....Mungu tubariki!Amni usiamini chuo bora kinachotoa elimu bora na ya ukweli yaani mabingwa wa tasnia ya fani ya ualimu i mum pekee hp tanzania
wabillah tawfiq
Unawakimbizaje mkuu?kigezo ni mimi.....kwa sasa nasoma hapa DSM POSTGRADUATE,,,,,hao wana funzi wa mzumbe sijui sua udsm ifm nawakimbiza ile mbaya
wanafanya vizuri ktk ajira,,wana walimu bora,,pia ktk masomo ya postgraduate wanafanya vema sana...mmoja wapo ni mimi
Unawakimbizaje mkuu?
Naona KIGUMU CHAMA ameamua kutuchekesha,inawezekana alisomea uchekeshaji pale Kaole Bagamoyo!na hapa sielewi....
Ag. Dean, Faculty of Business Studies
Abdulla Y. Tego (Islamic Studies) – B.A. (Ed) (Islamic Univ. Uganda);
M.A. (Islamic Studies) (Muslim College - London).
Associate Dean, Faculty of Arts and Humanities,
Assistant Lecturer, Issa Omar Malecela – B.A. (Islamic Studies)
(College of Islamic Studies – Mombasa);
M. Ed. (Intern. Islamic Univ. Malaysia).
sasa hii BA na Arts na humanities na Uislam inalink vipi....? duh
Na jinsi alivyo na midevu kama Osama,na suali fupi kama vipedo!Watakuwa wanakimbia kwa kuogopa mavazi yake.
Chezea burqa wee
Amni usiamini chuo bora kinachotoa elimu bora na ya ukweli yaani mabingwa wa tasnia ya fani ya ualimu i mum pekee hp tanzania
Acha umbea wewe chuo pekee tz chenye wanachuo 'below standard' hapo utaeleweka. Chuo gani kile bora wakifute
Nisaidie jamani,je hicho chuo kinapokea dini zote
na hapa sielewi....
Ag. Dean, Faculty of Business Studies
Abdulla Y. Tego (Islamic Studies) B.A. (Ed) (Islamic Univ. Uganda);
M.A. (Islamic Studies) (Muslim College - London).
Associate Dean, Faculty of Arts and Humanities,
Assistant Lecturer, Issa Omar Malecela B.A. (Islamic Studies)
(College of Islamic Studies Mombasa);
M. Ed. (Intern. Islamic Univ. Malaysia).
sasa hii BA na Arts na humanities na Uislam inalink vipi....? duh