Ba education at muslim univ of morogoro (mum)

Ba education at muslim univ of morogoro (mum)

Hii post imenifanya nitembelee website ya chuo cha MUM. Kusema kweli kama sio bora na hawa ndugu wawe na chuo sioni sababu ya kukipa hiki chuo usajili. Naongea ukweli naomba wengine muangalie link hiyo hapo chini

Muslim University of Morogoro

Hivi chuo kikuu Deans of Faculties wote ni Ag. (Acting) halafu wote ni Assistant Lecturers (Masters)! PhD chuo kizima nimehesabu sita 6 labda wengine mnisaidie kuhesabu.

Haina tofauti sana na UDOM!! TAs, Asst Lecturers na Lecturers ndiyo walimu na viongozi wategemewa!!
 
na hapa sielewi....

Ag. Dean, Faculty of Business Studies
Abdulla Y. Tego (Islamic Studies) – B.A. (Ed) (Islamic Univ. Uganda);
M.A. (Islamic Studies) (Muslim College - London).

Associate Dean,
Faculty of Arts and Humanities,
Assistant Lecturer, Issa Omar Malecela – B.A. (Islamic Studies)
(College of Islamic Studies – Mombasa);
M. Ed. (Intern. Islamic Univ. Malaysia).

sasa hii BA na Arts na humanities na Uislam inalink vipi....? duh
 
mbona ndo nakisikia leo hiki chuo,wenye vyuo vya kata wanavyojua kuvipromote vyuo vyao,tutakoma
 
Amni usiamini chuo bora kinachotoa elimu bora na ya ukweli yaani mabingwa wa tasnia ya fani ya ualimu i mum pekee hp tanzania

wabillah tawfiq
kuliko kukosa AKILI bora kukosa mali.....Mungu tubariki!
 
kigezo ni mimi.....kwa sasa nasoma hapa DSM POSTGRADUATE,,,,,hao wana funzi wa mzumbe sijui sua udsm ifm nawakimbiza ile mbaya
 
duh.sifa nyingine hata sio kabisaa.....au ndo matangazo?
 
Mkuu mbona umeamua kujitoa ufahamu uliotunukiwa na mungu?
 
wanafanya vizuri ktk ajira,,wana walimu bora,,pia ktk masomo ya postgraduate wanafanya vema sana...mmoja wapo ni mimi

Yaani wewe ni muhitimu wa chuo?

Hicho chuo ulichosoma ndio chuo bomu kwa mtaji huo. Siamini kama mhitimu wa chuo anaweza kuwa na presentation ya hovyo namna hiyo, hiyo moja.

Mbili, kwa mtu mwenye akili zake, atafahamu kuwa mwalimu (ukiondoa wa madrasa) anatakiwa avae sura ya urafiki na mwanafunzi ndio apate kueleweka kwa hiyo ni vigumu kuamini kuwa kuna wanafunzi watapenda kufundishwa na masked egwugwu

View attachment 77485

Mwanangu Maximilian akimuona huyo darasani bila shaka itakuwa kazi kwa mama yake siku hiyo akirudi home

"mom.., can you believe a monster showed up in the classroom today?!"

Ungekuwa umesoma angalau kidogo, ungebandika Pro Stru angalau tulinganishe na vyuo vingine na sio kutuletea ngonjera za makubazi hapa
 
na hapa sielewi....

Ag. Dean, Faculty of Business Studies
Abdulla Y. Tego (Islamic Studies) – B.A. (Ed) (Islamic Univ. Uganda);
M.A. (Islamic Studies) (Muslim College - London).

Associate Dean,
Faculty of Arts and Humanities,
Assistant Lecturer, Issa Omar Malecela – B.A. (Islamic Studies)
(College of Islamic Studies – Mombasa);
M. Ed. (Intern. Islamic Univ. Malaysia).

sasa hii BA na Arts na humanities na Uislam inalink vipi....? duh
Naona KIGUMU CHAMA ameamua kutuchekesha,inawezekana alisomea uchekeshaji pale Kaole Bagamoyo!
 
Last edited by a moderator:
Amni usiamini chuo bora kinachotoa elimu bora na ya ukweli yaani mabingwa wa tasnia ya fani ya ualimu i mum pekee hp tanzania

Acha umbea wewe chuo pekee tz chenye wanachuo 'below standard' hapo utaeleweka. Chuo gani kile bora wakifute
 
mkiondoa UDINI mtajadili kwa upeo sana,,,ila mkiweka udini hamtojadili kwa hoja.......waulizeni wenzenu ninaosoma nao hapa chuoni MBA wanajuta kunifahamu kudadeki
 
na hapa sielewi....

Ag. Dean, Faculty of Business Studies
Abdulla Y. Tego (Islamic Studies) – B.A. (Ed) (Islamic Univ. Uganda);
M.A. (Islamic Studies) (Muslim College - London).

Associate Dean,
Faculty of Arts and Humanities,
Assistant Lecturer, Issa Omar Malecela – B.A. (Islamic Studies)
(College of Islamic Studies – Mombasa);
M. Ed. (Intern. Islamic Univ. Malaysia).

sasa hii BA na Arts na humanities na Uislam inalink vipi....? duh

mkuu mbona hutaki kuelewa? ndio maana mleta mada kasema ni chuo bora!
 
Bado mnang'ang'ania kuchukua ma TA wenye GPA ya 3.5 angalia vyuo vingine Tanzania mara nyingi ni 3.8 na kuendelea kama sio first class, halafu mbona kwenye staffs wenu mmeonyesha ma TA wote ni waislamu kwa majina tu wanatambulika vipi, hamruhusu watu wa dini nyingine kusoma hapo? Binafsi ninamifano ya vyuo vikuu vya wakristo ambavyo ma TA ni Waislamu kwani wanaangalia ubora nyinyi vipi?
 
Back
Top Bottom