OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 434
Amni usiamini chuo bora kinachotoa elimu bora na ya ukweli yaani mabingwa wa tasnia ya fani ya ualimu i mum pekee hp tanzania
wabillah tawfiq
wabillah tawfiq
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii post imenifanya nitembelee website ya chuo cha MUM. Kusema kweli kama sio bora na hawa ndugu wawe na chuo sioni sababu ya kukipa hiki chuo usajili. Naongea ukweli naomba wengine muangalie link hiyo hapo chini
Muslim University of Morogoro
Hivi chuo kikuu Deans of Faculties wote ni Ag. (Acting) halafu wote ni Assistant Lecturers (Masters)! PhD chuo kizima nimehesabu sita 6 labda wengine mnisaidie kuhesabu.
usipende kumdhalilisha mwenzio wakatianajua yupo kwenye bonge la chuo,usiingie sana huko we mwambie tu sawa na udsm,mzumbe,sua na .......... ni vyuo vya kata
HAHAHAHA MKUU mtoa uzi anakuchora tu anaelewa ndani ya moyo wake teh teh tehHii post imenifanya nitembelee website ya chuo cha MUM. Kusema kweli kama sio bora na hawa ndugu wawe na chuo sioni sababu ya kukipa hiki chuo usajili. Naongea ukweli naomba wengine muangalie link hiyo hapo chini
Muslim University of Morogoro
Hivi chuo kikuu Deans of Faculties wote ni Ag. (Acting) halafu wote ni Assistant Lecturers (Masters)! PhD chuo kizima nimehesabu sita 6 labda wengine mnisaidie kuhesabu.
Asante, nimeelewa mkuu! Basi angepeleka hoja hii jukwaa la habari mchanganyiko. Kwenye elimu lazima litachambuliwa kielimu!
Amni usiamini chuo bora kinachotoa elimu bora na ya ukweli yaani mabingwa wa tasnia ya fani ya ualimu i mum pekee hp tanzania
wabillah tawfiq
Hiyo hoja yenu ya kuwa na ma dr 6 ni mfu kabisa.......tuna maprofessor watatu,,ma dr wa kutosha tu,,,,na chuo kipo na kinatambuliwa na tcu,,kipo no 11 ukitembelea ktk web ya tcu