ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 148
DSM ni chuo gani? uanawakimbiza mchakamchaka au??kigezo ni mimi.....kwa sasa nasoma hapa DSM POSTGRADUATE,,,,,hao wana funzi wa mzumbe sijui sua udsm ifm nawakimbiza ile mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DSM ni chuo gani? uanawakimbiza mchakamchaka au??kigezo ni mimi.....kwa sasa nasoma hapa DSM POSTGRADUATE,,,,,hao wana funzi wa mzumbe sijui sua udsm ifm nawakimbiza ile mbaya
Watakuwa wanakimbia kwa kuogopa mavazi yake.
Chezea burqa wee
yaani wewe ni muhitimu wa chuo?
Hicho chuo ulichosoma ndio chuo bomu kwa mtaji huo. Siamini kama mhitimu wa chuo anaweza kuwa na presentation ya hovyo namna hiyo, hiyo moja.
Mbili, kwa mtu mwenye akili zake, atafahamu kuwa mwalimu (ukiondoa wa madrasa) anatakiwa avae sura ya urafiki na mwanafunzi ndio apate kueleweka kwa hiyo ni vigumu kuamini kuwa kuna wanafunzi watapenda kufundishwa na masked egwugwu
View attachment 77485
mwanangu maximilian akimuona huyo darasani bila shaka itakuwa kazi kwa mama yake siku hiyo akirudi home
"mom.., can you believe a monster showed up in the classroom today?!"
ungekuwa umesoma angalau kidogo, ungebandika pro stru angalau tulinganishe na vyuo vingine na sio kutuletea ngonjera za makubazi hapa
yah,,kinapokea watu wa dini zote hakina ubaguzi hata mimi nilimaliza na wakristo wapatao 22
tusiwe mashabiki na chuki,,huo ndo ukweli wenyewe
mkiondoa UDINI mtajadili kwa upeo sana,,,ila mkiweka udini hamtojadili kwa hoja.......waulizeni wenzenu ninaosoma nao hapa chuoni MBA wanajuta kunifahamu kudadeki
sidhani ktk nchi hii kuna chuo kikuu kichovu kama stella maris mtwara university coolege cha mtwara kwani kina prof mmoja tu madakari wa sheria za kanisa (cannon laws) yaani mapadre wawili tu,but the rest ni wenye masters na tutorial assistances ambao kusema ukweli uwezo wao wa kufundisha ni mdogo sana.chuo hakina reliable computer lab,library finyu na isiyo kuwa relevant publications.hivi hawa watu wa tcu wanatumia vigezo gani kutoa accreditation taasisi kuwa chuo kikuu and the way quality assurance is assessed to these the so called higher learning institutions.
Mbona nyinyi hakimbiwi na harufu ya choo,
Chezea kuvaa nusu uchi na kuchamba kwa paper wee! 😀
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
Asante, nimeelewa mkuu! Basi angepeleka hoja hii jukwaa la habari mchanganyiko. Kwenye elimu lazima litachambuliwa kielimu!
km ndevu ht mungu wenu wa X MASS anaonekana ana madevu mengi
Akili nzuri ukiwa nayo. Nyie watu mnatia kinyaa vichwani, hivi kazi za chooni mnazipenda sana eeh!
Huwa nashangazwa na mambo kadhaa juu ya mazungumzo yenu:
1. Kina fulani hawajatahiriwa
SWALI: Wewe mwanaume mwenzangu umenichunguzia wapi ukagundua mimi sijatahiriwa? Je ni wake zenu ndio wanawasimulia wanapotoka nje kutafuta msaada wa kupunguza hamu baada ya kuolewa 4 na mume asiye na lishe ya maana?
2. Kina fulani hawanawi na maji
SWALI: Ndio mafundisho yenu kuhusu watu wengine? Au shida yenu ni kuona tissue chooni ndio conclussion kuwa hatutumiii maji? Huwa mna kazi ya kuwatawadha watu wakiingia chooni?
Kwa hiyo wewe mfuga videvu unajiona ndio una akili saaana unapokosa maji kuchambia jiwe uliloliokota chini (ambalo mwenzio kachambia jana) na kulitumia kusafishia ******** wako? Ndio maana mnaongoza kwa UTI na Kipindupindu. Acha ujinga, tumia TISSUE sio JIWE.
Ukiona mtu ni mchafu kiasi hanyoi kwapani, kidevuni basi ni dhahiri hata mavuzi hanyoi. Kishati kichafu na suruali fupi kama mchinja kuku na harufu kali ya kikwapa ndio dini, loh! Kikanzu kimefubaa mpaka uambiwe ndio ujue kuwa zamani kilikuwa cheupe.
Enhe nimekumbuka, mnapokuwa kwenye...
View attachment 77810
jaribuni kuwa na utaratibu mzuri wa kunywa maji. Ndoo moja na kombe la plastiki kila mtu anatosa humo humo na kunywea hilo hilo sio afya. Ndio maana fungus za mdomo haziishi mitaani. Halafu kwa vumbi la Buguruni si jambo la busara kuweka ubwabwa chini namna hiyo jamani mnatugharimu kununua madawa mweh!