Baa ya Kitambaa Cheupe Tabata inaungua moto

Baa ya Kitambaa Cheupe Tabata inaungua moto

Hizo bar dizain hiyo sijakanyaga naenda mwaka 3 sahvi
Anyway poleni

Ova
 
Nani wa kuzuia sodoma na gomora kuungu?
 
Shida inaanzia kwa wamiliki pia.

Tajiri Mlokozi anakejeli Wahitimu wa Degree kwamba ni Mbumbumbu kwa sababu hawana hela kama yeye na kwanba hakuna wanachojua.

Anasahau pesa anayoingiz inatokana na wanancachi hao hao.

Hawa matajiri wakishapata wanawaone wenzao hawana maana hawana Mbele wala nyuma.

Sasa mtu kama huyo akiunguliwa utamsaidia vipi?
[emoji1] wanaponda wakati hao hao anawaponda ndiyo wanawapa
Hela

Ova
 
Haya mambo yule mchungaji aliyetabiri kifo cha lowasa alitabiri pia akisema slip way,kitambaa cheupe,uwanja wa fisi na liver side anaona kuna majanga yatatokea,juzi liverside kumeungua,haya leo kitambaa duh.
Mchungaji yupi mkuu
 
Haya ni mambo ya kibiashara zaidi kwenye biashara kuna michezo mingi, mingine michafu mingine misafi we husomi comments?
Nimesoma ndio maana nimeweza kukuuliza kuhusu dai hilo
 
Kwa mangi dukani

Ova
Umenikumbusha survey tulikuwa na mangi wetu anatukopa konyaG kwenye kulipa tunavitana mashati balaa.ukilewa tunakulamba simu afu tunakwambia lipia bapa tukupe simu .
Club kuna mademu wa mtaan ambao haawatupi sisi wanajua hawa wahuni hawana mia.ilikuwa raHa sana wana tupeleka meeda kazi yetu kuwalinda wasiliwe bure
 
Kama heading inavyojieleza Bar ya kitambaa cheupe ya tabata imeungua yote na kuteketea uku chanzo cha moto bado akijajulikana..video nimeziweka apo chini..
View attachment 2913650
 
Kulikuwa kama kuna ujenzi una endelea hapo siku mbili tatu nyuma
 
Back
Top Bottom