Baa ya The Cask yafunguliwa

Baa ya The Cask yafunguliwa

FB_IMG_1692798609584.jpg


Hii ni katika Shamra shamra za nguvu zilizoandaliwa wiki hii , hasa baada ya Baa hiyo kufungiwa kwa matatizo ya leseni na baadaye kufunguliwa na Mkurugenzi

Wote mnakaribishwa .
 
Nitakuwepo hapo this Friday..

Kuna dada na bleach nitapenda anihudumie kama kawaida..
 
Nitakuja na firimbi,Dj weka wimbo wa Roma Bandari. Nasemajee[emoji28]
 
Back
Top Bottom