Baa za Tabata na maeneo yake ya kula bata

Baa za Tabata na maeneo yake ya kula bata

Ukitoka Twist unasogea mbele Kuna Mr Wine ilipokua kitambaa Cheupe zamani, ukisogea shell kushoto Kuna Mazembe Park usiombee mademu hapo wanakunywa Henken na Windhoek tu! Tuache hapo segerea mwisho utakutana Na kingdom wahudumu ni kama wamevaa vichupi 24/7, hapo utakutana na Ale Bush na Fantasy, endea Kinyerezi Kabla ya Round about utakutana na Big Boys na hapo ukielekea Airport Kuna Darajani 24/7 halali na haamki mtu! Tabata sio Poa nimesahau Kaites lounge Baada ya KP
Hizo sehemu ulizozitaja ni point za wakurungwa
 
Kwa siku za karibuni Tabata imekuwa sehemu ya kula bata sana tofauti na kipindi flani ilijulikana Sinza ndio kuna mambo mengi lakini hivi sasa tabata ndio inashika namba moja.

Ukianzia 40 40 jirani hapo kuna smal planet tembea kidogo unakutana na kitamaa cheupe kabla hujakaa sawa unasikia Barakuda huku mziki wa the great ukikuita ile nyingine ilikuwa inaitwa kwetu pazuri sasa inajina jipya twest.

Unaweza kujiuliza hawa watu wanalala mida gani ila kikubwa usijichanganye ukaiga maisha ya watu utapotea
Tabata kwa wala bata.
 
Back
Top Bottom