Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tabata inawatu wa vipato vya kati na chini ndio wakazi wake wengi na wengi ni wakazi wa hapo, kinachitokea ni kwamba wakati tunatoka makazini town, kuelekea kinyerezi, humo njiani unajichagulia upumzike wapi kabla ya kufika nyumbani, mabaa yamejaa manjiani kututega nasi tunategeka, maisha ni mafupi na we don't have guarantee with.ikipoa tu kuna chimbo litawaka na itakuwa ngumu watu kurudi tabata
Tabata ililengwa kwa watu wa vipato vya kati,wale wa vipato vya chini wamevamia tu holly wood yetu na wanateseka sana wakiona watu wanakula bata mbele yaoTabata inawatu wa vipato vya kati na chini ndio wakazi wake wengi na wengi ni wakazi wa hapo, kinachitokea ni kwamba wakati tunatoka makazini town, kuelekea kinyerezi, humo njiani unajichagulia upumzike wapi kabla ya kufika nyumbani, mabaa yamejaa manjiani kututega nasi tunategeka, maisha ni mafupi na we don't have guarantee with.
Ntakutembelea weekend,niko tabata tangu 1988,huko kwa sway enzi hizo ni majaruba ya mpunga ,tukija kuwinda ndeziUkiwa tabata kokote ingia bolt halafu weka destination "Kwa Swayi" kuna kiwanja kipya kikali kama kitambaa cheupe kina jina lq kizungu DE LA FRANCE ni noma hapo... Watu hawalali.. Rahisi ni kutokea kimanga
Ndio mkuu kutesa kwa zamuikipoa tu kuna chimbo litawaka na itakuwa ngumu watu kurudi tabata
Hio ndio mitaa ilionilea toka nikiwa Young PiniusNtakutembelea weekend,niko tabata tangu 1988,huko kwa sway enzi hizo ni majaruba ya mpunga ,tukija kuwinda ndezi
Elekeza vizuri Kingdom ilipo. Mimi vivyo viguo vinanipagawisha Sana, hata nikiviona vimeanikwa kwenye Kama.Ukitoka Twist unasogea mbele Kuna Mr Wine ilipokua kitambaa Cheupe zamani, ukisogea shell kushoto Kuna Mazembe Park usiombee mademu hapo wanakunywa Henken na Windhoek tu! Tuache hapo segerea mwisho utakutana Na kingdom wahudumu ni kama wamevaa vichupi 24/7, hapo utakutana na Ale Bush na Fantasy, endea Kinyerezi Kabla ya Round about utakutana na Big Boys na hapo ukielekea Airport Kuna Darajani 24/7 halali na haamki mtu! Tabata sio Poa nimesahau Kaites lounge Baada ya KP
Elekeza vizuri Kingdom ilipo. Mimi vivyo viguo vinanipagawisha Sana, hata nikiviona vimeanikwa kwenye Kama
Shuka au fika Segerea mwisho stand hata mtoto mdogo atakuonesha Hiko kistone! Natype nikiwa iliyokua STK zamani round about Mbuyuni kama wenda Kinyerezi hakuna week days au wikend! Akili kumkichwa na njdhamu ya matumizi!Elekeza vizuri Kingdom ilipo. Mimi vivyo viguo vinanipagawisha Sana, hata nikiviona vimeanikwa kwenye Kama.
Nimevisit hapo kama mara 2 hivi kiwanja kipo ndani ndani lakini kina watu wa kutosha.Ukiwa tabata kokote ingia bolt halafu weka destination "Kwa Swayi" kuna kiwanja kipya kikali kama kitambaa cheupe kina jina lq kizungu DE LA FRANCE ni noma hapo... Watu hawalali.. Rahisi ni kutokea kimanga
Maeneo ya maji chumvi before Mazda litakua kipyaNimevisit hapo kama mara 2 hivi kiwanja kipo ndani ndani lakini kina watu wa kutosha.
to kinyerezBarabara ipi hiyo inayotanuliwa mkuu? Hii relini to kinyerezi au kimanga?
Unaendelea alipoishia [emoji3]Ukitoka Twist unasogea mbele Kuna Mr Wine ilipokua kitambaa Cheupe zamani, ukisogea shell kushoto Kuna Mazembe Park usiombee mademu hapo wanakunywa Henken na Windhoek tu! Tuache hapo segerea mwisho utakutana Na kingdom wahudumu ni kama wamevaa vichupi 24/7, hapo utakutana na Ale Bush na Fantasy, endea Kinyerezi Kabla ya Round about utakutana na Big Boys na hapo ukielekea Airport Kuna Darajani 24/7 halali na haamki mtu! Tabata sio Poa nimesahau Kaites lounge Baada ya KP
Kwahiyo unaogopa U T I kuliko ukimwi?ukigonga kavu tu huko, UTI hii hapa
Mkuu unaogopa UTI kuliko HIV?Tabata noma sana kuna manzi mmoja ana kifrem chake anauza mtungi mitaa ya kitambaa sasa mtu mzima nimeingia kupiga gambe yule dada muuzaji kaingia ndani ya fremu kaanza kubadilisha nguo daa niko mtungi hatarii nashukuru shetani alishindwa siku hiyoo ningepata UTI ha ha
STK ya zamani Sasa imezinduliwa upya hapo katikati Kuna vipub uchwara mbele utakuta BL park kiwanja matata sana achana na Safari na kavesu za zamani hapo kinyerezi mwisho nenda hapo juu utakutana na G7 tunakuaga Sasa unaingia kifuru unakutana na Soweto full kanga sungura bata mzinga mbuzi na bata! Sema kwaheri TabataUnaendelea alipoishia [emoji3]