Baa za Tabata na maeneo yake ya kula bata

Elekeza vizuri Kingdom ilipo. Mimi vivyo viguo vinanipagawisha Sana, hata nikiviona vimeanikwa kwenye Kama.

Nipo kingdom saa hii… maelekezo ya mkuu hapo yamenifikisha… ni hatari… nina ka 80k mfukoni cjui kama ntarud nako home…
 
Ushauri unahitajika kutoka kwa wadau wa kileo/vi - mvinyo,
kumekuwa na changamoto ya kinywaji - Drostdy Hof - kuna cases 3-4 za walokunywa kinywaji hicho bar tofauti wakapata changamoto ya tumbo kwa siku 2-3, ikabidi waende hospitali kutibiwa.

Je mnywaji anawezaje tambua Drostdy Hof feki na original?
Pombe nyingi hasa za nje nchi hii fakefake sana. Bora turudi tu kwenye ulanzi na kimpumu. Drostdy bora uchukue ile yenye kizibo cha Oak, hizi za vizibo vya aluminium fakefake sana.
 
Sio UTI tu. Kuna ule muwasho Fulani kwenye bomba halafu ukikamua unapata Ute Fulani mzito Kama blue band margarine.
Tiba yake Sasa Ni Mara mbili ya pesa uliyotumia kula Bata. Huku ukiwa na wasiwasi wa miwaya.
Hahahahaha eti ukiwa na wasiwasi wa miwaya
 
Sio UTI tu. Kuna ule muwasho Fulani kwenye bomba halafu ukikamua unapata Ute Fulani mzito Kama blue band margarine.
Tiba yake Sasa Ni Mara mbili ya pesa uliyotumia kula Bata. Huku ukiwa na wasiwasi wa miwaya.
nimecheka sana mpaka mchepuko wangu wa kizungu kastuka usingizini daaaaaaaaaaaaah🤣
🤣🤣
 
Tabata ililengwa kwa watu wa vipato vya kati,wale wa vipato vya chini wamevamia tu holly wood yetu na wanateseka sana wakiona watu wanakula bata mbele yao
Wewe unaijua Tabata?. Huu ulikua mji wa watu wa chini kabisa, Mzunguko wa Ela uliotokea kipindi cha Kikwete umeikuza Tabata. Tabata Matumbi ilikaliwa na Manamba wa Kimatumbi kutoka kusini mwa Tanzania, Tabata Kushoto, Bonde la Msimbazi (Matumbi - Bima - Liwiti- Barakuda) ilimilikiwa na Waluguru. Bar zilikua ni Latino na Sarvoy Aroma, bar ya mwisho ilikua Dar West, baadae ikaja nyantare Bima. 2002 tunamaliza Shule msingi Tabata, Tabata ilishia Kanisa Katoliki Magengeni, magari ya wafungwa tu ndio yalikua yanafika Segerea. Shule ya Msingi ilikua moja tu, ni ile ya Tabata. 2005 makabila yaliopata kipato na wafanya biashara wakaingia, Chang'mbe, Kimanga, Segerea zikajengwa. Bado Tabata watu wa Tabaka la chini wengi, waluguru wa kutosha na makabila mengineyo. Ingawa nakubali kwa sasa wenye fedha wanatawala.
 
Haha Enzi hizo hapo Aroma kulikua na competition sana kati ya hizi Bar mbili Savoy na Latino
 
Wewe unaijua Tabata?. Huu ulikua mji wa watu wa chini kabisa, Mzunguko wa Ela uliotokea kipindi cha Kikwete umeikuza Tabata. Tabata Matumbi ilikaliwa na Manamba wa Kimatumbi kutoka kusini mwa Tanzania, Tabata Kushoto, Bonde la Msimbazi (Matumbi - Bima - Liwiti- Barakuda) ilimilikiwa na Waluguru. Bar zilikua ni Latino na Sarvoy Aroma, bar ya mwisho ilikua Dar West, baadae ikaja nyantare Bima. 2002 tunamaliza Shule msingi Tabata, Tabata ilishia Kanisa Katoliki Magengeni, magari ya wafungwa tu ndio yalikua yanafika Segerea. Shule ya Msingi ilikua moja tu, ni ile ya Tabata. 2005 makabila yaliopata kipato na wafanya biashara wakaingia, Chang'mbe, Kimanga, Segerea zikajengwa. Bado Tabata watu wa Tabaka la chini wengi, waluguru wa kutosha na makabila mengineyo. Ingawa nakubali kwa sasa wenye fedha wanatawala.
Niko tabata kitambo tangu 1983 kipindi hicho baa ni mbili tu,Hai bar ya mzee mushi na camp bar ya mzee mmari.kwa nini nasema tabata ililenga watu wa kipato cha kati?serikali ya nyerere ilichagua tabata kuwa makazi ya watumishi wake,ngoja nikutajie mashirika na taasisi za umma zenye kota zao tabata,tunaanza na nssf opposite na aroma,kuna azimio,hizi ni za ccm,kuna,tazara,polisi,masoko,bima ,nnsf tena,karibu na kristo mfalme,tazara tena maeneo ya liwiti,sigara,chuo cha veta chang'ombe,ladwa,NHC mawenzi .ongeza zingine,sasa eneo kama hilo huwezi kuliita la masikini,mimi nimekulia tabata bima zile kota zilizonunuliwa na mama rwakatare,karibu na 40 40 tangu miaka ya 80 watoto wa mle tulikuwa wa kishua NIC lilikuwa shirika kubwa.
Kuhusu matumbi hata msasani na mikocheni kuna mitaa ya uswazi kuliko hiyo matumbi.
Nimesoma uzi wako unaonekana na wewe ni mkongwe tabata ila iangalie tabata katika angle hiyo.umemaluza tabata primary 2002 mimi 1992 hizo bar ulizotaja hazikuwepo,jengo la Aroma linajengwa naliona
 
Kwa siku za karibuni Tabata imekuwa sehemu ya kula bata sana tofauti na kipindi flani ilijulikana Sinza ndio kuna mambo mengi lakini hivi sasa Tabata ndio inashika namba moja.

Ukianzia 40 40 jirani hapo kuna Smal Planet tembea kidogo unakutana na Kitamaa Cheupe kabla hujakaa sawa unasikia Barakuda huku mziki wa The Great ukikuita ile nyingine ilikuwa inaitwa Kwetu Pazuri sasa inajina jipya Twest.

Unaweza kujiuliza hawa watu wanalala mida gani ila kikubwa usijichanganye ukaiga maisha ya watu utapotea
Umesahau kwa mfojo
 
Tabata BATA Batani huko segerea ndio usipime duuh hatari
 
Ukitoka Twist unasogea mbele Kuna Mr Wine ilipokua kitambaa Cheupe zamani, ukisogea shell kushoto Kuna Mazembe Park usiombee mademu hapo wanakunywa Henken na Windhoek tu! Tuache hapo segerea mwisho utakutana Na kingdom wahudumu ni kama wamevaa vichupi 24/7, hapo utakutana na Ale Bush na Fantasy, endea Kinyerezi Kabla ya Round about utakutana na Big Boys na hapo ukielekea Airport Kuna Darajani 24/7 halali na haamki mtu! Tabata sio Poa nimesahau Kaites lounge Baada ya KP
Hatari na nusu
 
Back
Top Bottom