Baa zenye mademu bomba Dar

Baa zenye mademu bomba Dar

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Je ni baa gani zenye mademu wazuri ambao unaweza kuondoka nao wakati wowote mradi makubaliano? Ka vipi naoa kabisa
 
Ngoja niangalie...me naikumbuka Arusha night park tu pale makao makuu ya E.A
 
Je ni baa gani zenye mademu wazuri ambao unaweza kuondoka nao wakati wowote mradi makubaliano? Ka vipi naoa kabisa

Kwa nini uangaike na wa bar wakati wapo wanaouza miili yao rasmi? Tena hupati hata gharama ya kumnunulia bia wala chakula ni cash yako tu mtakayokubaliana.

Kama uvijui viwanja ni Jolly club, club Ambiance, Maisha club, all over kinondoni na kama unajimudu leo kuanzia saa 4 usiku njoo level 8 bar Kilimanjaro hotel.

Bia 1 sh 8000/=
 
Ngoja wenyewe wakuje kukupa majibu...

sijui why mtu anakuwa na uhusiano au kukutana kimwili na asiyemjua ndani ya lisaa.
hivi mtu anashindwa kujicontrol mpaka anamnunua malaya?
 
watu wanashindwa kujitathmin
 
Je ni baa gani zenye mademu wazuri ambao unaweza kuondoka nao wakati wowote mradi makubaliano? Ka vipi naoa kabisa
Baani!!!! mademu wazuri? Duh!!! Kweli watu tuko wengi ila binadamu ni wachache!
 
sijui why mtu anakuwa na uhusiano au kukutana kimwili na asiyemjua ndani ya lisaa.
hivi mtu anashindwa kujicontrol mpaka anamnunua malaya?

Utajiumiza kichwa bure. Waache wanunuaji na wateja wao mkuu.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom