Baa zenye mademu bomba Dar

Baa zenye mademu bomba Dar

MMU ipo JF, hapa nazungumzia priorities , sasa kama mtu unawekeza muda wako mwingi kwenye mapenzi na ngono wewe utakua ni mtu wa namna gani?? kazi kuchomeka na kuchomoa tu..ndio nini hiyo...kuna muda wa kufanya mambo ya muhimu pia sio kungonoka na pombe 24/7..seriously mtu unakaa kujadili chupi tu??

Kama wewe unapenda kufanya mambo muhimu sasa we kilichokuleta kwny hii thread ni nini?

Acha kujifanya MSAFI kwenye jamhuri ya watu wa MATOPE
 
dunia ilivyo kama gunia unaweza kutwa na VVU/UKIMWI uliopata kwa tendo moja unalodai makini huku hao unaowaponda wakibaki salama katikati ya lundo la ufuska!
sasa ndo tujiachie?
 
Back
Top Bottom