Baaada ya beki Banda wa Mtibwa Sugar FC kuhongwa ili ajivunje, sasa ni zamu za akina Yondan na Nyosso wa Geita Gold FC nao kuhongwa wajivunje

Pamoja me kuwa ni mshabiki wa Simba ila Sina ushabiki wa kipuuzi kama wa mtoa mada ushabiki usitufanye kuwa vipofu sema ukweli watani zangu msimu Huu mnatimu nzuri Sana
Duniani kote hakujawahi kuwa na timu nzuri sana inayoishia hatua za awali kimataifa. Timu nzuri sana inaenda sambamba na kufanya vizuri dhidi ya wakubwa wenzake wa mataifa mengine.
 
Duniani kote hakujawahi kuwa na timu nzuri sana inayoishia hatua za awali kimataifa. Timu nzuri sana inaenda sambamba na kufanya vizuri dhidi ya wakubwa wenzake wa mataifa mengine.
Yanga wametolewa kimataifa kipindi wanajitafuta walikuwa team yao hawana chemistry na wala hawakucheza mechi za kirafiki nyingi za kuwafanya wachezaji waelewane wengi wachezaji wake walikuwa wapya ndo maana kocha wao akawaambia ninahitaji siku kazaa aitengeneze team ya ushindani atimaye now day amepata muunganiko wa team ndio maana sasa hiv Unaweza kutaja kikosi Cha kwanza Cha Yanga tofauti na hapo awali walivyokuwa.Pamoja na ushabiki tulionao kwa team zetu lakini ifike kipindi tuwe wa kweli that is football
 
Inatosha kusema ni timu nzuri ila sio timu nzuri sana.
 
Sijui nisiamini au niamini
 
Pamoja me kuwa ni mshabiki wa Simba ila Sina ushabiki wa kipuuzi kama wa mtoa mada ushabiki usitufanye kuwa vipofu sema ukweli watani zangu msimu Huu mnatimu nzuri Sana
We ni utopolo vipi kimataifa bado mpo au
 
Maisha mafupi sana, iko wapi furaha yako?
 
Mikia mashabiki wake wote ni kama wanawake wa mwambao. Mna midomo nyie
 
Kwani Mikia mlipo cheza nao Washambuliaji wa Mikia walipewa kiasi gani wawe hawataki kifunga lango la Mtibwa? Nani alihonga forward ya Simba isifunge ni Mtibwa au Friends of Simba?
 
Nilipona Banda hayupo kwenye Kikosi kinachoanza wala mchezaji wa akiba, ilibidi nirejee kwenye kumbukumbu zangu takatifu nikaona paragraph moja hivi kuwa Engineer ndo aliyempeleka Banda Afrika Kusini

Kwahivyo mchezo ulishaisha long time..!
 
Nilipona Banda hayupo kwenye Kikosi kinachoanza wa mchezaji wa akiba, ilibidi nirejee kwenye kumbukumbu zangu takatifu nikaona paragraph moja hivi kuwa Engineer ndo aliyempeleka Banda Afrika Kusini

Kwahivyo mchezo ulishaisha long time..!
Mission Accomplished.
 
1) umeleta hoja bila kiambatanisho cha ushahidi ama uthibitisho, kazi yako ni kulalamika lamika humu kama mjane halafu malamiko na tuhuma zako hazina hata uthibitisho wowote ule.
2) hao wachezaji kama wamepewa ela, walikuwa hawana haja ya kujifanya wagonjwa bali wangefosi wachezeshwe ili wacheze chini ya kiwango kurahisishia ushindi Yanga.
 
Simba kucheza kimataifa kumewasaidia sana siku hizi hawalalamiki sana kwenye media.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…