Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja me kuwa ni mshabiki wa Simba ila Sina ushabiki wa kipuuzi kama wa mtoa mada ushabiki usitufanye kuwa vipofu sema ukweli watani zangu msimu Huu mnatimu nzuri SanaAisee hadi huruma ina maana hauna mema ya yanga kila siku ni malalamiko tu
Duniani kote hakujawahi kuwa na timu nzuri sana inayoishia hatua za awali kimataifa. Timu nzuri sana inaenda sambamba na kufanya vizuri dhidi ya wakubwa wenzake wa mataifa mengine.Pamoja me kuwa ni mshabiki wa Simba ila Sina ushabiki wa kipuuzi kama wa mtoa mada ushabiki usitufanye kuwa vipofu sema ukweli watani zangu msimu Huu mnatimu nzuri Sana
Yanga wametolewa kimataifa kipindi wanajitafuta walikuwa team yao hawana chemistry na wala hawakucheza mechi za kirafiki nyingi za kuwafanya wachezaji waelewane wengi wachezaji wake walikuwa wapya ndo maana kocha wao akawaambia ninahitaji siku kazaa aitengeneze team ya ushindani atimaye now day amepata muunganiko wa team ndio maana sasa hiv Unaweza kutaja kikosi Cha kwanza Cha Yanga tofauti na hapo awali walivyokuwa.Pamoja na ushabiki tulionao kwa team zetu lakini ifike kipindi tuwe wa kweli that is footballDuniani kote hakujawahi kuwa na timu nzuri sana inayoishia hatua za awali kimataifa. Timu nzuri sana inaenda sambamba na kufanya vizuri dhidi ya wakubwa wenzake wa mataifa mengine.
Inatosha kusema ni timu nzuri ila sio timu nzuri sana.Yanga wametolewa kimataifa kipindi wanajitafuta walikuwa team yao hawana chemistry na wala hawakucheza mechi za kirafiki nyingi za kuwafanya wachezaji waelewane wengi wachezaji wake walikuwa wapya ndo maana kocha wao akawaambia ninahitaji siku kazaa aitengeneze team ya ushindani atimaye now day amepata muunganiko wa team ndio maana sasa hiv Unaweza kutaja kikosi Cha kwanza Cha Yanga tofauti na hapo awali walivyokuwa.Pamoja na ushabiki tulionao kwa team zetu lakini ifike kipindi tuwe wa kweli that is football
Sijui nisiamini au niaminiUkiujua Mpira wa Bongo (Tanzania) na Janja Janja yake ni raha sana.
Pongezi sana Kocha wa Mtibwa Sugar FC Salum Mayanga kwa Kuwaanzisha Wachezaji wabovu ila baada ya Yanga SC kufunga Goli la Pili ndipo ukawaingiza Wachezaji wazuri akina Kibaya.
Hongera sana Kipa Shabaan Kado (mwana Yanga SC lia lia) na Beki Abdi Banda (mwana Simba SC ila mwenye Bifu na Simba SC kwakuwa ilikataa Kukusajili tena) kwa Kukunja Pesa za Matajiri wa Avic Town na Kusambaza kwa Wachezaji kadhaa ili mfungwe na Pengo liwe ni Alama (Points) nane (8)
Hongera nyingi sana pia kwa Kiungo Mpumbavu wa Mtibwa Sugar FC ambaye ulipewa Pasi nzuri ila kwa Makusudi yako na baada ya Muamala wako Kukamilika ukaamua Kulazimisha kutaka kumpiga Chenga Feisal Salum na Kujikosesha kwa Makusudi na akaunasa na Goli Kufungwa kisha Mechi ilipomalizika ukawa Unatabasamu hata hukuumia.
Mwisho kabisa nitoe Pongezi kwa Beki Ibrahim Ame (ambaye Jana ndiyo ulikuwa Nahodha) kwa Kitendo chako cha ulipoumia ulitakiwa Kutolewa nje aingie mwingine na ukakataa ukisema unaweza kuendelea kwani hukuumia mno ila baada ya Fiston Mayele Kufunga Goli la Pili ukaomba kutoka / Kutolewa.
Beki Abdi Banda Hela ulizopewa na Matapeli wa Avic Town ni nyingi ili tu Udanganye (Ujivunje) usicheze Mechi ya jana ( huku Mratibu Mkuu wa Kukupenyezea huo Mlungula) akiwa ni Shemeji yako (Umemuolea Dada yake) Mwanamuziki Ali Kiba (mwana Yanga SC Kindakindaki) hivyo basi nakuomba zitumie katika Kuimalizia Nyumba yako ya kule Kwetu Mkoani Tanga na zingine (Chenji ) hakikisha unamalizia Kupiga Rangi Nyumba yako ya Segerea kwani Rangi iliyoko sasa inabanduka tu na Mabati nayo yanawapigia mno Kelele Majirani kwani yamelegea yanataka Kung'oka na kwa hii Mvua Kubwa ya Dar es Salaam na huu Upepo mkali yanaweza yakaanza Safari yake ndani ya Maji ya Mto Msimbazi na ukaja Kuyaokotea Baharini usawa wa lilipo Daraja liisilo na Faida kwa Watanzania na Wana Dar es Salaam la Tanzanite.
Haya Mabeki Bandidu, Masela na Wahuni mnaoogopeka na Yanga SC akina Kelvin Yondan na Juma Nyosso (ambao mna Mechi Mbili mfululizo na Yanga SC ) ile ya Ligi (NBC) na ya FA (ASFC) nanyi jiandaeni sasa Kufuatwa Kuhongwa Mamilioni na Matapeli wa Avic Town ili ama mtafute Kadi Nyekundu ili mkose Mechi nao au mkikaribia tu Kucheza nao mjivunje (mdanganye) kuwa mnaumwa au mna Dharula (kama alivyofanya Jana Beki Mpumbavu Abdi Banda) ili msicheze na Watu Washinde ili azma yao Kuu ya kwamba kwa Msimu huu / mwaka huu iwe isiwe (kwa vyovyote na gharama yoyote ) lazima wawe Mabingwa itimie.
Namalizia kwa Kusisitiza tena kuwa ukiujua Mpira wa Tanzania (Bongo ) na Umafia wake (Janja Janja yake ) ni raha sana na wala ukisikia / ukiyasikia Matokeo fulani hupati taabu sana sana utabaki Kucheka tu na Kuusikitikia ( Kuuonea Huruma ) Mpira wa Tanzania ambao una 95% ya Rushwa ( Match Fixing ) ila TFF, BMT na TAKUKURU wananyamaza na Kuona ni Jambo lenye Afya kwa Afya ya Maendeleo ya Soka letu nchini.
We ni utopolo vipi kimataifa bado mpo auPamoja me kuwa ni mshabiki wa Simba ila Sina ushabiki wa kipuuzi kama wa mtoa mada ushabiki usitufanye kuwa vipofu sema ukweli watani zangu msimu Huu mnatimu nzuri Sana
Wewe ni mgeni Sana kwenye hili jukwaa ila wenzako wanajua me ni mshabiki wa SimbaWe ni utopolo vipi kimataifa bado mpo au
Bahati nzuri Simba SC hatuna Shabiki wa mfano wako.Wewe ni mgeni Sana kwenye hili jukwaa ila wenzako wanajua me ni mshabiki wa Simba
Maisha mafupi sana, iko wapi furaha yako?Ukiujua Mpira wa Bongo (Tanzania) na Janja Janja yake ni raha sana.
Pongezi sana Kocha wa Mtibwa Sugar FC Salum Mayanga kwa Kuwaanzisha Wachezaji wabovu ila baada ya Yanga SC kufunga Goli la Pili ndipo ukawaingiza Wachezaji wazuri akina Kibaya.
Hongera sana Kipa Shabaan Kado (mwana Yanga SC lia lia) na Beki Abdi Banda (mwana Simba SC ila mwenye Bifu na Simba SC kwakuwa ilikataa Kukusajili tena) kwa Kukunja Pesa za Matajiri wa Avic Town na Kusambaza kwa Wachezaji kadhaa ili mfungwe na Pengo liwe ni Alama (Points) nane (8)
Hongera nyingi sana pia kwa Kiungo Mpumbavu wa Mtibwa Sugar FC ambaye ulipewa Pasi nzuri ila kwa Makusudi yako na baada ya Muamala wako Kukamilika ukaamua Kulazimisha kutaka kumpiga Chenga Feisal Salum na Kujikosesha kwa Makusudi na akaunasa na Goli Kufungwa kisha Mechi ilipomalizika ukawa Unatabasamu hata hukuumia.
Mwisho kabisa nitoe Pongezi kwa Beki Ibrahim Ame (ambaye Jana ndiyo ulikuwa Nahodha) kwa Kitendo chako cha ulipoumia ulitakiwa Kutolewa nje aingie mwingine na ukakataa ukisema unaweza kuendelea kwani hukuumia mno ila baada ya Fiston Mayele Kufunga Goli la Pili ukaomba kutoka / Kutolewa.
Beki Abdi Banda Hela ulizopewa na Matapeli wa Avic Town ni nyingi ili tu Udanganye (Ujivunje) usicheze Mechi ya jana ( huku Mratibu Mkuu wa Kukupenyezea huo Mlungula) akiwa ni Shemeji yako (Umemuolea Dada yake) Mwanamuziki Ali Kiba (mwana Yanga SC Kindakindaki) hivyo basi nakuomba zitumie katika Kuimalizia Nyumba yako ya kule Kwetu Mkoani Tanga na zingine (Chenji ) hakikisha unamalizia Kupiga Rangi Nyumba yako ya Segerea kwani Rangi iliyoko sasa inabanduka tu na Mabati nayo yanawapigia mno Kelele Majirani kwani yamelegea yanataka Kung'oka na kwa hii Mvua Kubwa ya Dar es Salaam na huu Upepo mkali yanaweza yakaanza Safari yake ndani ya Maji ya Mto Msimbazi na ukaja Kuyaokotea Baharini usawa wa lilipo Daraja liisilo na Faida kwa Watanzania na Wana Dar es Salaam la Tanzanite.
Haya Mabeki Bandidu, Masela na Wahuni mnaoogopeka na Yanga SC akina Kelvin Yondan na Juma Nyosso (ambao mna Mechi Mbili mfululizo na Yanga SC ) ile ya Ligi (NBC) na ya FA (ASFC) nanyi jiandaeni sasa Kufuatwa Kuhongwa Mamilioni na Matapeli wa Avic Town ili ama mtafute Kadi Nyekundu ili mkose Mechi nao au mkikaribia tu Kucheza nao mjivunje (mdanganye) kuwa mnaumwa au mna Dharula (kama alivyofanya Jana Beki Mpumbavu Abdi Banda) ili msicheze na Watu Washinde ili azma yao Kuu ya kwamba kwa Msimu huu / mwaka huu iwe isiwe (kwa vyovyote na gharama yoyote ) lazima wawe Mabingwa itimie.
Namalizia kwa Kusisitiza tena kuwa ukiujua Mpira wa Tanzania (Bongo ) na Umafia wake (Janja Janja yake ) ni raha sana na wala ukisikia / ukiyasikia Matokeo fulani hupati taabu sana sana utabaki Kucheka tu na Kuusikitikia ( Kuuonea Huruma ) Mpira wa Tanzania ambao una 95% ya Rushwa ( Match Fixing ) ila TFF, BMT na TAKUKURU wananyamaza na Kuona ni Jambo lenye Afya kwa Afya ya Maendeleo ya Soka letu nchi
Porojo kama porojoPorojo
Kwani Mikia mlipo cheza nao Washambuliaji wa Mikia walipewa kiasi gani wawe hawataki kifunga lango la Mtibwa? Nani alihonga forward ya Simba isifunge ni Mtibwa au Friends of Simba?Ukiujua Mpira wa Bongo (Tanzania) na Janja Janja yake ni raha sana.
Pongezi sana Kocha wa Mtibwa Sugar FC Salum Mayanga kwa Kuwaanzisha Wachezaji wabovu ila baada ya Yanga SC kufunga Goli la Pili ndipo ukawaingiza Wachezaji wazuri akina Kibaya.
Hongera sana Kipa Shabaan Kado (mwana Yanga SC lia lia) na Beki Abdi Banda (mwana Simba SC ila mwenye Bifu na Simba SC kwakuwa ilikataa Kukusajili tena) kwa Kukunja Pesa za Matajiri wa Avic Town na Kusambaza kwa Wachezaji kadhaa ili mfungwe na Pengo liwe ni Alama (Points) nane (8)
Hongera nyingi sana pia kwa Kiungo Mpumbavu wa Mtibwa Sugar FC ambaye ulipewa Pasi nzuri ila kwa Makusudi yako na baada ya Muamala wako Kukamilika ukaamua Kulazimisha kutaka kumpiga Chenga Feisal Salum na Kujikosesha kwa Makusudi na akaunasa na Goli Kufungwa kisha Mechi ilipomalizika ukawa Unatabasamu hata hukuumia.
Mwisho kabisa nitoe Pongezi kwa Beki Ibrahim Ame (ambaye Jana ndiyo ulikuwa Nahodha) kwa Kitendo chako cha ulipoumia ulitakiwa Kutolewa nje aingie mwingine na ukakataa ukisema unaweza kuendelea kwani hukuumia mno ila baada ya Fiston Mayele Kufunga Goli la Pili ukaomba kutoka / Kutolewa.
Beki Abdi Banda Hela ulizopewa na Matapeli wa Avic Town ni nyingi ili tu Udanganye (Ujivunje) usicheze Mechi ya jana ( huku Mratibu Mkuu wa Kukupenyezea huo Mlungula) akiwa ni Shemeji yako (Umemuolea Dada yake) Mwanamuziki Ali Kiba (mwana Yanga SC Kindakindaki) hivyo basi nakuomba zitumie katika Kuimalizia Nyumba yako ya kule Kwetu Mkoani Tanga na zingine (Chenji ) hakikisha unamalizia Kupiga Rangi Nyumba yako ya Segerea kwani Rangi iliyoko sasa inabanduka tu na Mabati nayo yanawapigia mno Kelele Majirani kwani yamelegea yanataka Kung'oka na kwa hii Mvua Kubwa ya Dar es Salaam na huu Upepo mkali yanaweza yakaanza Safari yake ndani ya Maji ya Mto Msimbazi na ukaja Kuyaokotea Baharini usawa wa lilipo Daraja liisilo na Faida kwa Watanzania na Wana Dar es Salaam la Tanzanite.
Haya Mabeki Bandidu, Masela na Wahuni mnaoogopeka na Yanga SC akina Kelvin Yondan na Juma Nyosso (ambao mna Mechi Mbili mfululizo na Yanga SC ) ile ya Ligi (NBC) na ya FA (ASFC) nanyi jiandaeni sasa Kufuatwa Kuhongwa Mamilioni na Matapeli wa Avic Town ili ama mtafute Kadi Nyekundu ili mkose Mechi nao au mkikaribia tu Kucheza nao mjivunje (mdanganye) kuwa mnaumwa au mna Dharula (kama alivyofanya Jana Beki Mpumbavu Abdi Banda) ili msicheze na Watu Washinde ili azma yao Kuu ya kwamba kwa Msimu huu / mwaka huu iwe isiwe (kwa vyovyote na gharama yoyote ) lazima wawe Mabingwa itimie.
Namalizia kwa Kusisitiza tena kuwa ukiujua Mpira wa Tanzania (Bongo ) na Umafia wake (Janja Janja yake ) ni raha sana na wala ukisikia / ukiyasikia Matokeo fulani hupati taabu sana sana utabaki Kucheka tu na Kuusikitikia ( Kuuonea Huruma ) Mpira wa Tanzania ambao una 95% ya Rushwa ( Match Fixing ) ila TFF, BMT na TAKUKURU wananyamaza na Kuona ni Jambo lenye Afya kwa Afya ya Maendeleo ya Soka letu nchini.
Mission Accomplished.Nilipona Banda hayupo kwenye Kikosi kinachoanza wa mchezaji wa akiba, ilibidi nirejee kwenye kumbukumbu zangu takatifu nikaona paragraph moja hivi kuwa Engineer ndo aliyempeleka Banda Afrika Kusini
Kwahivyo mchezo ulishaisha long time..!