njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Ngasa ilikuwaje mkuu? Goli sita kwa wakomoro akabeba, hizi fitna za karia na rafiki yake motsepe walianza kwa kisinda wakalazimisha yanga ibaki na kambole.Kuna wakati ushabiki unaondoa maarifa.
Kila kitu mtu anachukulia kama ni kuonewa.
Uefa top scorer anahesabiwa kuanzia hatua ya makundi na si vinginevyo, kwa nini kwetu ikiwa hivyo iwe tatizo?.
Kuna timu hazianzii hatua ya awali, hauonikatika mchakato wa kutafuta mfungaji bora zinakuwa zimehujumiwa?
Kila la heri.
Baaada ya ratiba na zalan wakabadili sababu walijua mayele atachukua kiatu.Hiyo sheria ipo tokea zamani labda wewe ulikuwa haujui. Ukiingia hatua ya makundi ndio hesabu zinaanzia hapo na hata official broadcastiing wa CAF wanaamzia hapo kurusha matangazo. Msimu gani umeona mchezaji kapewa ufungaji bora kwa kuhesabu hadi magoli ya hatua za awali?
Vpn all the way nishajikomboaga utimwaniUmekosa cha kupost mkuu au umewekewa bando la bure
Sheria imepitishwa tangu 2018, halafu unakuja kuleta porojo zako hapa! wewe Bin Kazumari unahitaji msaada wa kisaikolojia.Wana Yanga kuonewa hadi lini jamani? Karia akishirikiana na rafiki yake mkuu wa CAF na mmiliki wa mamelodi Sundown Motsepe.
Wanafanya maamuzi mengine mabaya dhidi ya Yanga. Walimzuia kisinda sababu hadi mamelodi wanaiogopa Yanga sasa jana usiku sheria mpya imepitishwa eti mfungaji bora magoli yahesabiwe kuanzia makundi.
Hii ni baaada ya Mayele kupiga tatu akiwa ugenini ambapo Yanga walifanyiwa hujuma kali ba marefa
Katika marudiano hapa nyumbani atafunga matano sasa CAF na karia kama kawaida yao washaafanya fitna.
Wana Yanga amkeni mnaonewa mnooo.
Ushabiki wa mpira umekufanya uchanganyikiwe sasa.Baaada ya ratiba na zalan wakabadili sababu walijua mayele atachukua kiatu.
Unajua ni kwa kiasi gani Yanga inaogopwa Afrika?
Nyie mchekeeni tu karia anashirikiana na mamelodi sundowns kupitia motsepe kuidhoofisha Yanga.
[emoji38][emoji38][emoji38]Wana Yanga kuonewa hadi lini jamani? Karia akishirikiana na rafiki yake mkuu wa CAF na mmiliki wa mamelodi Sundown Motsepe.
Wanafanya maamuzi mengine mabaya dhidi ya Yanga. Walimzuia kisinda sababu hadi mamelodi wanaiogopa Yanga sasa jana usiku sheria mpya imepitishwa eti mfungaji bora magoli yahesabiwe kuanzia makundi.
Hii ni baaada ya Mayele kupiga tatu akiwa ugenini ambapo Yanga walifanyiwa hujuma kali ba marefa
Katika marudiano hapa nyumbani atafunga matano sasa CAF na karia kama kawaida yao washaafanya fitna.
Wana Yanga amkeni mnaonewa mnooo.
Hujui lolote wewe kumbe hujui chuki ya karia juu ya yanga hujaona kisinda alichofanyiwa wakati ni kama issue ya chikwende?Sheria imepitishwa tangu 2018, halafu unakuja kuleta porojo zako hapa! wewe Bin Kazumari unahitaji msaada wa kisaikolojia.
Kwa niaba ya wananchi wenzangu naomba tu kuwasilisha ✍️🚮🚮🚮🚮🚮🚮
Watoto wadogo hamjui ni kiasi gani yanga inapigwa vita afrika hii kwa sasaUshabiki wa mpira umekufanya uchanganyikiwe sasa.
Wakaoge kwanza waondoe vinyesiWatoto wadogo hamjui ni kiasi gani yanga inapigwa vita afrika hii kwa sasa
Na karia anashirikiana na motsepe,mi ndo nawasanua hivyoooo
Tulia Genius Manara aje na mkeka kuelezea vizuri fitna hizo, we hujui lolote, hivi unajua mechi na rivers utd TFF walisababisha yanga wacheze bila mashabiki?Hiyo sheria mbona ipo muda tu sio mpya kila mtu anaijua au umesikia yanga na mayele wakilalamika?
Kinachokuuma ni kuona mayele akiendelea kushinda kila siku na kibaya zaidi mnaumia pale mayele anapoigeuza simba vile anavyotaka yeye
huna akili.Wana Yanga kuonewa hadi lini jamani? Karia akishirikiana na rafiki yake mkuu wa CAF na mmiliki wa mamelodi Sundown Motsepe.
Wanafanya maamuzi mengine mabaya dhidi ya Yanga. Walimzuia kisinda sababu hadi mamelodi wanaiogopa Yanga sasa jana usiku sheria mpya imepitishwa eti mfungaji bora magoli yahesabiwe kuanzia makundi.
Hii ni baaada ya Mayele kupiga tatu akiwa ugenini ambapo Yanga walifanyiwa hujuma kali ba marefa
Katika marudiano hapa nyumbani atafunga matano sasa CAF na karia kama kawaida yao washaafanya fitna.
Wana Yanga amkeni mnaonewa mnooo.
ukiyajua yaliyoko nyuma ya pazia ungempeleka Motsepe na Karia mahakama kuu ya kenya, badala ya kunishukuru kwa kuwasanua wana yanga unaleta dharauhuna akili.
Mashabiki wa Simba mnapretend, wewe kama unataka kuja huku Yang njoo na si kuzusha habari za uongo.Wana Yanga kuonewa hadi lini jamani? Karia akishirikiana na rafiki yake mkuu wa CAF na mmiliki wa mamelodi Sundown Motsepe.
Wanafanya maamuzi mengine mabaya dhidi ya Yanga. Walimzuia kisinda sababu hadi mamelodi wanaiogopa Yanga sasa jana usiku sheria mpya imepitishwa eti mfungaji bora magoli yahesabiwe kuanzia makundi.
Hii ni baaada ya Mayele kupiga tatu akiwa ugenini ambapo Yanga walifanyiwa hujuma kali ba marefa
Katika marudiano hapa nyumbani atafunga matano sasa CAF na karia kama kawaida yao washaafanya fitna.
Wana Yanga amkeni mnaonewa mnooo.
Kuna wananchi wenzako wameshajaa kwenye kapu la Njaa Kali tayari.Sheria imepitishwa tangu 2018, halafu unakuja kuleta porojo zako hapa! wewe Bin Kazumari unahitaji msaada wa kisaikolojia.
Kwa niaba ya wananchi wenzangu naomba tu kuwasilisha [emoji3578][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]