njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Wana Yanga kuonewa hadi lini jamani? Karia akishirikiana na rafiki yake mkuu wa CAF na mmiliki wa mamelodi Sundown Motsepe.
Wanafanya maamuzi mengine mabaya dhidi ya Yanga. Walimzuia kisinda sababu hadi mamelodi wanaiogopa Yanga sasa jana usiku sheria mpya imepitishwa eti mfungaji bora magoli yahesabiwe kuanzia makundi.
Hii ni baaada ya Mayele kupiga tatu akiwa ugenini ambapo Yanga walifanyiwa hujuma kali ba marefa
Katika marudiano hapa nyumbani atafunga matano sasa CAF na karia kama kawaida yao washaafanya fitna.
Wana Yanga amkeni mnaonewa mnooo.