Baaada ya Kisinda, Karia na Motsepe kumuharibia Mayele

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Wana Yanga kuonewa hadi lini jamani? Karia akishirikiana na rafiki yake mkuu wa CAF na mmiliki wa mamelodi Sundown Motsepe.

Wanafanya maamuzi mengine mabaya dhidi ya Yanga. Walimzuia kisinda sababu hadi mamelodi wanaiogopa Yanga sasa jana usiku sheria mpya imepitishwa eti mfungaji bora magoli yahesabiwe kuanzia makundi.

Hii ni baaada ya Mayele kupiga tatu akiwa ugenini ambapo Yanga walifanyiwa hujuma kali ba marefa

Katika marudiano hapa nyumbani atafunga matano sasa CAF na karia kama kawaida yao washaafanya fitna.

Wana Yanga amkeni mnaonewa mnooo.
 
Kuna wakati ushabiki unaondoa maarifa.

Kila kitu mtu anachukulia kama ni kuonewa.

Uefa top scorer anahesabiwa kuanzia hatua ya makundi na si vinginevyo, kwa nini kwetu ikiwa hivyo iwe tatizo?

Kuna timu hazianzii hatua ya awali, hauonikatika mchakato wa kutafuta mfungaji bora zinakuwa zimehujumiwa?

Kila la heri.
 
Kuna wakati ushabiki unaondoa maarifa.
Kila kitu mtu anachukulia kama ni kuonewa.

Uefa top scorer anahesabiwa kuanzia hatua ya makundi na si vinginevyo, kwa nini kwetu ikiwa hivyo iwe tatizo?.
Kuna timu hazianzii hatua ya awali, hauonikatika mchakato wa kutafuta mfungaji bora zinakuwa zimehujumiwa?

Kila la heri.
Ngasa ilikuwaje mkuu? Goli sita kwa wakomoro akabeba, hizi fitna za karia na rafiki yake motsepe walianza kwa kisinda wakalazimisha yanga ibaki na kambole.
 
Hiyo sheria ipo tokea zamani labda wewe ulikuwa haujui.

Ukiingia hatua ya makundi ndio hesabu zinaanzia hapo na hata official broadcastiing wa CAF wanaamzia hapo kurusha matangazo.

Msimu gani umeona mchezaji kapewa ufungaji bora kwa kuhesabu hadi magoli ya hatua za awali?
 
Hiyo sheria ipo tokea zamani labda wewe ulikuwa haujui. Ukiingia hatua ya makundi ndio hesabu zinaanzia hapo na hata official broadcastiing wa CAF wanaamzia hapo kurusha matangazo. Msimu gani umeona mchezaji kapewa ufungaji bora kwa kuhesabu hadi magoli ya hatua za awali?
Baaada ya ratiba na zalan wakabadili sababu walijua mayele atachukua kiatu.

Unajua ni kwa kiasi gani Yanga inaogopwa Afrika?

Nyie mchekeeni tu karia anashirikiana na mamelodi sundowns kupitia motsepe kuidhoofisha Yanga.
 
Wana Yanga kuonewa hadi lini jamani? Karia akishirikiana na rafiki yake mkuu wa CAF na mmiliki wa mamelodi Sundown Motsepe.

Wanafanya maamuzi mengine mabaya dhidi ya Yanga. Walimzuia kisinda sababu hadi mamelodi wanaiogopa Yanga sasa jana usiku sheria mpya imepitishwa eti mfungaji bora magoli yahesabiwe kuanzia makundi.

Hii ni baaada ya Mayele kupiga tatu akiwa ugenini ambapo Yanga walifanyiwa hujuma kali ba marefa

Katika marudiano hapa nyumbani atafunga matano sasa CAF na karia kama kawaida yao washaafanya fitna.

Wana Yanga amkeni mnaonewa mnooo.
Sheria imepitishwa tangu 2018, halafu unakuja kuleta porojo zako hapa! wewe Bin Kazumari unahitaji msaada wa kisaikolojia.

Kwa niaba ya wananchi wenzangu naomba tu kuwasilisha ✍️
🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Sheria imepitishwa tangu 2018, halafu unakuja kuleta porojo zako hapa! wewe Bin Kazumari unahitaji msaada wa kisaikolojia.

Kwa niaba ya wananchi wenzangu naomba tu kuwasilisha ✍️
🚮🚮🚮🚮🚮🚮
Hujui lolote wewe kumbe hujui chuki ya karia juu ya yanga hujaona kisinda alichofanyiwa wakati ni kama issue ya chikwende?
Ila we jamaa ni genius sana umenistukiaje mimi ni kazumari?
 
Ushabiki wa mpira umekufanya uchanganyikiwe sasa.
Watoto wadogo hamjui ni kiasi gani yanga inapigwa vita afrika hii kwa sasa
Na karia anashirikiana na motsepe,mi ndo nawasanua hivyoooo
 
Hiyo sheria mbona ipo muda tu sio mpya kila mtu anaijua au umesikia yanga na mayele wakilalamika?
Kinachokuuma ni kuona mayele akiendelea kushinda kila siku na kibaya zaidi mnaumia pale mayele anapoigeuza simba vile anavyotaka yeye
 
Tulia Genius Manara aje na mkeka kuelezea vizuri fitna hizo, we hujui lolote, hivi unajua mechi na rivers utd TFF walisababisha yanga wacheze bila mashabiki?
Unajua hadi leo hawajatoa adhabu ya inonga lakini ya morrison itawahi?
unajua wamemfungia manara ili kuidhoofisha yanga?
unajua kisinda kafanyiwa fitna wakati chikwende aliruhusiwa?
Amka usingizini wewe, yanga hii tishio inafanyiwa fitna kila kona ya afrika kwa sasa inaogopeka mnoooo
 
Wana Yanga kuonewa hadi lini jamani? Karia akishirikiana na rafiki yake mkuu wa CAF na mmiliki wa mamelodi Sundown Motsepe.

Wanafanya maamuzi mengine mabaya dhidi ya Yanga. Walimzuia kisinda sababu hadi mamelodi wanaiogopa Yanga sasa jana usiku sheria mpya imepitishwa eti mfungaji bora magoli yahesabiwe kuanzia makundi.

Hii ni baaada ya Mayele kupiga tatu akiwa ugenini ambapo Yanga walifanyiwa hujuma kali ba marefa

Katika marudiano hapa nyumbani atafunga matano sasa CAF na karia kama kawaida yao washaafanya fitna.

Wana Yanga amkeni mnaonewa mnooo.
huna akili.
 
Mashabiki wa Simba mnapretend, wewe kama unataka kuja huku Yang njoo na si kuzusha habari za uongo.
 
Sheria imepitishwa tangu 2018, halafu unakuja kuleta porojo zako hapa! wewe Bin Kazumari unahitaji msaada wa kisaikolojia.

Kwa niaba ya wananchi wenzangu naomba tu kuwasilisha [emoji3578]
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Kuna wananchi wenzako wameshajaa kwenye kapu la Njaa Kali tayari.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom