Jambo la kawaida sana hilo kwenye ndoa 🐒
love imeshift tu kidogo, ameelekeza love na concentration yake zaidi kwa mtoto, bila shaka ni mdogo🐒
hapendi kumeza dawa wala kutumia uzazi wa mpango, ana hofu kupata ujauzito wakati hayupo tayari na kitoto bado kichanga 🐒
baadhi ya mambinti walio zaa, wawe kwenye ndoa ama la huwa wanajiona hawana thamani tena mbele za wanaume katika kipindi cha kunyonyesha, kwamba eti hawapendeki na labda wananuka maziwa kitu ambacho ni kweli baadhi ya vijana hawapendi, lakini hilo sio la maana.
Inferiority complex huwatesa sana, huwaondolea kujiaamini kabisaa, wanahisi kuchujuka na kukongoroka mno. Na hapo ndio unaona hataki mgegedo mchana, coz she feels ule urembo alikua nao haupo tena na anaona atakukera 🐒
kumbe mubaba wa watu unampenda kwa dhati sana hivyo hivyo alivyo, umeridhika nae, unamfahamu vizuri urembo na madhaifu yake, wewe shida yako ni kupewa tu mbususu ugegede ujilalie zako. Hilo hawalijui hata 🐒
hata hivyo,
Mlishe vizuri, mtimizie mahitaji yake muhimu, mtoto nae amnyonye ashibe vizuri, na huyo mtoto akianza kula misosi tu, na afya ya mama ikianza kusimama vizuri, urembo wake ukaanza kurejea, utaona tu anakua smart, kanga moja kwa sana..
ujue mambo ni bam bam 🐒
kua mstahimilivu, kua na subra mtimizie mahitaji yake bila kuchoka bila kukosa, hilo litapita itarejea hali ya mwanzoni utainjoy sana 🐒