Baaada yakupata mtoto mke wangu havutiwi tena na kufanya mapenzi

Watalaamau husema kufanya mapenzi sio kitu mahimu na lazima sana kwa wanawake.

Wao wanaweza hata kujilazimisha tu uridhike.
Pole sana kijana, labda ni complication za mtoto wa kwanza, atakua sawa.

Au kuna kosa ulimfanyia na hajasahau, lakini pia inawezekana mridhishaji kapatikana mahali pengine.

Yote au kimojawapo kinawezekana.
 
Y
🤣🤣🤣🤣 eti napenda BW
Hivi unafikiri kuna raha tunaipata kwenye hiyo BW?? Mi sipendi kabisa huyo mkeo atakuwa pacha wangu aisee!!
Nna kinyaa, nawashangaa hata hao wanaowafanyia hivo.. utakuta mwenzi wako katoka kufokoa mtaro uko kwa kina Asha jibwa alafu anakwambia hivo ptyuuuu 🤮🤮🤮🤮
Yaaaaan Kuna vituu wangejuagaa hatupendi...
 
Bro hii inafanana na maisha yangu pure, wanaume tunapitia mengi sana kwenye ndoa, tendo la ndoa limepoteza mvuto kabisa yaani. Badala mtu uwe na kumbukumbu nzuri za ndoa eti wanakua na kumbukumbu mbaya za enzi za Uzinzi. Daah inatesa sana
 
1. Baada ya kupata mtoto Hana interest na sex kabisa. Hii ni tofauti na kipindi cha uchumba.. kama niliomba mzigo mara kumi, basi nimepewa mbili. Siku akiomba yeye sijawah kataa. Na anapoomba yy ni sababu anajistukia kuwa hajanipa siku nyingi. Na nikiomba mara kadhaa sijapewa huwa nasusa siombi. So ataona aibu ndo utaona ananiambia.

2. Akinipa basi muda wa romance mimi ndo nifanye kila kitu. Hatoi ushirikiano kabisa. Haikua hivi kwenye uchumba. Hanishiki wala hanigusi. Yeye atajitanua nichezee navotaka ila sio yeye kuhangaika na mimi. Nikiingiza angalau anajitikisa as anakata. Ila kwenye romance sahau.

3. Hataki mchana so nna muda mrefu sijamuona. Labda awe anabadilisha nguo mchana.

4. Hadi nmesahau mara ya mwisho lini me kupewa ile soon baada ya kulala. Mara zote nikipewa ni usiku wa manane au asubuh ile morning glory. Lakini ile eti tumekula twende tukalale, miaka imepita. Nikiomba naambiwa aah tulale kwanza ntakuamsha usiku. Sasa hii inanikera sababu me ukiniamsha usingiz mzito kuja tena. Usingiza ntapata tena alfajiri. Afu saa 12 inabidi nitoke niende mzigoni. Nmemueleza sana hii haelewi.

4. Hataki BJ kabisa lakini zaman ilikua fresh. Na mimi napenda saana BJ.

5. Nshaongea nae sana, ila anakuelewa wiki 2. Baada ya hapo anarudi kule kule.

6. Kuna tabia fulan huwa ananikera saana. Defence mechanism. Anajua huyu jamaa sahivi atanisumbua kutaka mzigo. So anaweka mazingira kujidefend. Atakaa sebulen wee anajifanya ana watch kumbe anazuga ulale, au akija kulala analala mbali na wewe anageuka upande ambao huwe fanya kitu.

Sasa wakuu ni mimi nacomplicate mambo, au haya ni mambo ya kawaida hata kwa nyie wezangu. Matokeo ya hii tabia yake ni nashindwa kutulia na ndoa. Nnmefunga ndoa 2016
Tafuta mchepuko halafu jifanye huna time nae hata mwaka ikibidi ongeza miaka hata 2 au 3 na kama bado endelea hivyo hivyo hata miaka kumi ukiona habadiliki ongeza tena miaka zaidi.
 
1. Baada ya kupata mtoto Hana interest na sex kabisa. Hii ni tofauti na kipindi cha uchumba.. kama niliomba mzigo mara kumi, basi nimepewa mbili. Siku akiomba yeye sijawah kataa. Na anapoomba yy ni sababu anajistukia kuwa hajanipa siku nyingi. Na nikiomba mara kadhaa sijapewa huwa nasusa siombi. So ataona aibu ndo utaona ananiambia.

2. Akinipa basi muda wa romance mimi ndo nifanye kila kitu. Hatoi ushirikiano kabisa. Haikua hivi kwenye uchumba. Hanishiki wala hanigusi. Yeye atajitanua nichezee navotaka ila sio yeye kuhangaika na mimi. Nikiingiza angalau anajitikisa as anakata. Ila kwenye romance sahau.

3. Hataki mchana so nna muda mrefu sijamuona. Labda awe anabadilisha nguo mchana.

4. Hadi nmesahau mara ya mwisho lini me kupewa ile soon baada ya kulala. Mara zote nikipewa ni usiku wa manane au asubuh ile morning glory. Lakini ile eti tumekula twende tukalale, miaka imepita. Nikiomba naambiwa aah tulale kwanza ntakuamsha usiku. Sasa hii inanikera sababu me ukiniamsha usingiz mzito kuja tena. Usingiza ntapata tena alfajiri. Afu saa 12 inabidi nitoke niende mzigoni. Nmemueleza sana hii haelewi.

4. Hataki BJ kabisa lakini zaman ilikua fresh. Na mimi napenda saana BJ.

5. Nshaongea nae sana, ila anakuelewa wiki 2. Baada ya hapo anarudi kule kule.

6. Kuna tabia fulan huwa ananikera saana. Defence mechanism. Anajua huyu jamaa sahivi atanisumbua kutaka mzigo. So anaweka mazingira kujidefend. Atakaa sebulen wee anajifanya ana watch kumbe anazuga ulale, au akija kulala analala mbali na wewe anageuka upande ambao huwe fanya kitu.

Sasa wakuu ni mimi nacomplicate mambo, au haya ni mambo ya kawaida hata kwa nyie wezangu. Matokeo ya hii tabia yake ni nashindwa kutulia na ndoa. Nnmefunga ndoa 2016
Wewe sio baba yake hivyo anahisi utambemenda.
 
mkuu acha kulalamika huo utakuwa udhaifu kwako.
ukitaka ndoa yako idumu tafuta mchepuko.
% kubwa ya wanaume tulio kwenye ndoa tunachepuka ili kuepukana na kadhia kama hiyo.

kulazimisha kupata penzi kwa huyo mkeo ni kumsumbua na kuwa kero kwake, mwache mkeo alee mtoto kwa amani.
Duh!
 
Back
Top Bottom