Baaada yakupata mtoto mke wangu havutiwi tena na kufanya mapenzi

Nakazia, tukichepuka wanatuona mafala sana,hawajui tunaepusha migogoro kwenye ndoa😊
 
Nakazia, tukichepuka wanatuona mafala sana,hawajui tunaepusha migogoro kwenye ndoa😊
kitu cha muhimu ni kuwa msiri(mke asijue)
na kingine cha kuzingatia ni kumuheshimu mke na kujali familia maradufu.
Nb: kumlazimisha mke tendo la ndoa ni kumnyanyasa kijinsia.

KUZINGATIA, usimlazimishe mke sex kama hataki/hajisikii utamkwaza na kumnyima furaha na amani.
 
Sorry to say this but natamani nipate mke kama wako....mimi huyo tutakaa hata mwaka manaake me pia hisia za sex ziko mbali sana...huwa kusex na mpenzi wangu mpaka anzishe utata au ninuniwe ndo nashtuka kumbe kitambo hatujasex πŸ˜‚......yan kwangu vise versa....huyo tunafanana aisee...lakin kwangu Mimi Nina sexual dysfunction ambayo inaitwa hypoactive sexual desire disorder japo napambana nayo kwaku punguza stress pia najaribu kupata usingizi mzuri(kulala kwa wakati) na mazoezi kwa wingi...hii inasaidia

Angalizo: Pengine ana hormonal imbalance inayosababisha upungufu wa libido au hana hisia na wewe tena au humvutii kimapenzi au Kuna anae mpenda au kumvutia zaidi yako πŸ˜‚....ila usifanye conclusion kupitia angalizo langu....jaribu mkae muongee kuliweka sawa na jaribu kumsikiliza yeye zaidi anaweza akafunguka 😊
 
Pole sana mkuu kwa matatizo hayo
 
Wewe unadhani kwa nini watu wanachepuka, sio kwa kupenda wakati mwingine, ni mambo kama hayo ndio hufanya wanaume wachepuke.

Kazi sana kuwa mtumwa wa mapenzi kwa mke wako, wewe kila siku unaomba tu na kupewa kwa mbinde sana. Mtu hana sababu yoyote ya kukunyima.

Bottom line ni kujitafutia mdada mzuri, wife material mmoja unampanga muwe mnasaidiana hivyo.

Tatizo ni haya maradhi tu, ila mengine sio issue.
 
Sasa uliingia kwenye ndoa kwa ajili gani? Ndio maana ndoa za siku hizi hazidumu kwasababu hizi

Kwanini uanike madhaifu ya mwenza wako?
Acha aongee kama ni kweli...aponye nafsi
Atafarijika akikuta wanaume wengi tu wanapitia hayo mambo?Ndoa zina siri nyingi sana, nyie waangalieni watu wanatembea pamoja na kucheka lkn wanavumilia vingi.

Wanawake asilimia kubwa kutoa papuchi wanaona ni issue kama ya kuamisha mlima, very complicated issue..wakati wanaume sie tendo ni kama kunywa maji...au kukojoa..yaani hata ukitupia kila siku huoni tabu na huwazi..

Wazee walisema Kuoa ni kipimo cha AKILI...hapa tunaongelea emotional intelligence na Intellifence Quotient..
 
Jambo la kawaida sana hilo kwenye ndoa πŸ’

love imeshift tu kidogo, ameelekeza love na concentration yake zaidi kwa mtoto, bila shaka ni mdogoπŸ’

hapendi kumeza dawa wala kutumia uzazi wa mpango, ana hofu kupata ujauzito wakati hayupo tayari na kitoto bado kichanga πŸ’

baadhi ya mambinti walio zaa, wawe kwenye ndoa ama la huwa wanajiona hawana thamani tena mbele za wanaume katika kipindi cha kunyonyesha, kwamba eti hawapendeki na labda wananuka maziwa kitu ambacho ni kweli baadhi ya vijana hawapendi, lakini hilo sio la maana.

Inferiority complex huwatesa sana, huwaondolea kujiaamini kabisaa, wanahisi kuchujuka na kukongoroka mno. Na hapo ndio unaona hataki mgegedo mchana, coz she feels ule urembo alikua nao haupo tena na anaona atakukera πŸ’

kumbe mubaba wa watu unampenda kwa dhati sana hivyo hivyo alivyo, umeridhika nae, unamfahamu vizuri urembo na madhaifu yake, wewe shida yako ni kupewa tu mbususu ugegede ujilalie zako. Hilo hawalijui hata πŸ’

hata hivyo,
Mlishe vizuri, mtimizie mahitaji yake muhimu, mtoto nae amnyonye ashibe vizuri, na huyo mtoto akianza kula misosi tu, na afya ya mama ikianza kusimama vizuri, urembo wake ukaanza kurejea, utaona tu anakua smart, kanga moja kwa sana..
ujue mambo ni bam bam πŸ’

kua mstahimilivu, kua na subra mtimizie mahitaji yake bila kuchoka bila kukosa, hilo litapita itarejea hali ya mwanzoni utainjoy sana πŸ’
 
Kama mnafanya ngono kwa mwezi Mara 1 naona onatosha Sana

Pia usitafute michipuko it hell angalia chanzo cha tatizo la mke wako kitaalamu zaidi.

Ikiwa utahitaji ngono zaidi waweza kuoa mke wa pili na sio michipuko maana michipuko ni ujinga kumuita au kumfanya mwanamke michipuko ni ujinga na haifai muoe if unampenda.
 
Wamama wengi wakitoka ndani wanakuwa na afya sana. Akizingatia usafi inatosha sana, tatizo wengi wanapoteza interest ya mapenzi kisa mapenzi yanashift kwa mtoto. Hapo ndio wanaume hawapendi, wanaona wanatengwa.
 
Ni kawaida mkuu..wanawake wakipata mtoto hamu ya sex inaisha kabisa na mapenzi asilimia mia wanahamishwa Kwa mtoto. Mimi mara ya kwanza kumcheat wife ni kwemye kipindi hicho. Mwanzoni ilinipa shida, lakini kadri muda unavyoenda nikaelewa. Mimi alikuwa anamuweka mtoto katikati kabisa. Lakini kadri mtoto anavyokua na yeye anarudi kwenye hali ya kawaida.
 
Wamama wengi wakitoka ndani wanakuwa na afya sana. Akizingatia usafi inatosha sana, tatizo wengi wanapoteza interest ya mapenzi kisa mapenzi yanashift kwa mtoto. Hapo ndio wanaume hawapendi, wanaona wanatengwa.
Love ikishift mtu anahisi kubaniwa, that is wrong πŸ’

ndio maana katika masomo ya mahusiano, tunasisitiza sana, yafaa wahusika wajengewe uelewa mpana na ufahamu wa wakutosha, Juu ya masuala ya mahusiano, ndoa na familia ili kuepuka taharuki na sintofahamu kama ilomkumba muungwana πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…