Baaada yakupata mtoto mke wangu havutiwi tena na kufanya mapenzi

Watalaamau husema kufanya mapenzi sio kitu mahimu na lazima sana kwa wanawake.

Wao wanaweza hata kujilazimisha tu uridhike.
Pole sana kijana, labda ni complication za mtoto wa kwanza, atakua sawa.

Au kuna kosa ulimfanyia na hajasahau, lakini pia inawezekana mridhishaji kapatikana mahali pengine.

Yote au kimojawapo kinawezekana.
 
Y Yaaaaan Kuna vituu wangejuagaa hatupendi...
 
Bro hii inafanana na maisha yangu pure, wanaume tunapitia mengi sana kwenye ndoa, tendo la ndoa limepoteza mvuto kabisa yaani. Badala mtu uwe na kumbukumbu nzuri za ndoa eti wanakua na kumbukumbu mbaya za enzi za Uzinzi. Daah inatesa sana
 
Tafuta mchepuko halafu jifanye huna time nae hata mwaka ikibidi ongeza miaka hata 2 au 3 na kama bado endelea hivyo hivyo hata miaka kumi ukiona habadiliki ongeza tena miaka zaidi.
 
Wewe sio baba yake hivyo anahisi utambemenda.
 
Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…