Baada Dar kuwa mkoani, sasa ni zamu ya wanaume wa Dodoma

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,830
Reaction score
4,729
Wanaume wa Dar waliandamwa sana kwa mengi, sasa Dar imekuwa mkoani kama Simiyu, Njombe na Songwe kazi kwenu wanaume wa Dodoma.
 
Bora warudi kwao huko mji mkuu wakaombe ombe watuachie mkoa wetu huku tuwe huru
 
Wanaume wa Dar waliandamwa sana kwa mengi, sasa Dar imekuwa mkoani kama Simiyu, Njombe na Songwe kazi kwenu wanaume wa Dodoma.
Ombaomba itabidi wadhibitiwe mapema..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Daah itabaki kuwa jiji kubwa Tanzania hii na no mji wa Kibiashara..
Over
 
Dar haiwez kuwa mkoan hata mara moja.jipen moyo tu
 
Dar haiwezi kuwa mkoa, hata ashuke yesu hili haiwezekani na halipo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…