Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Wanaume wa Dar waliandamwa sana kwa mengi, sasa Dar imekuwa mkoani kama Simiyu, Njombe na Songwe kazi kwenu wanaume wa Dodoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NiniThubutu!
Bhahahaaa.Wanaume wa Dodoma kama ndo akina Ndugai heri ya wanaume wa Dar
DuhWanangu wa Dodoma piga kelele
Kwan umeandika nnNini
Bado unaandika makala za BMW?
Ombaomba itabidi wadhibitiwe mapema..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Wanaume wa Dar waliandamwa sana kwa mengi, sasa Dar imekuwa mkoani kama Simiyu, Njombe na Songwe kazi kwenu wanaume wa Dodoma.
Hili swala kwa dodoma limeshaota mbawa[emoji51]Ombaomba itabidi wadhibitiwe mapema..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Namsikilize Ndugai hapa anatema pumba kama mashine ya kukoboa mpunga.Wanaume wa Dodoma kama ndo akina Ndugai heri ya wanaume wa Dar
Hivi hizi ndoto huwa mnaota bila kulala au??Wanaume wa Dar waliandamwa sana kwa mengi, sasa Dar imekuwa mkoani kama Simiyu, Njombe na Songwe kazi kwenu wanaume wa Dodoma.
anajifanya anajua sana kanuni za bunge huku yeye anazipindisha makusudiNamsikilize Ndugai hapa anatema pumba kama mashine ya kukoboa mpunga.
Dar sio mkoa ni Nini? Nchi?Dar haiwezi kuwa mkoa, hata ashuke yesu hili haiwezekani na halipo,