Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #61
Ogopa sana kuchukiwa na wananchi wote .Hata Diamond alinenewa maneno haya haya ila ndo kwanza anatusuaaa na pafyum
Siku zote tumefundishwa kuambatana na upande utendao haki , ukipuuza umekwisha !
Taarifa nilizozipata ni kwamba Kitendo cha Jokate kujiingiza kwenye siasa za ccm , chama ambacho kinachukiwa na vijana wengi sana wa Tanzania , bidhaa zake zimeanza kudoda .
Ikumbukwe kwamba dada huyu hujishughulisha na biashara mbalimbali ikiwemo biashara ya rasta , mtindo unapendwa zaidi na wasichana wa kisasa .
Nikajiuliza huyu dada ni kitu gani kimemfanya aharibu Brand yake haraka hivi kwa kujiegemeza kwenye chama kisichotakiwa , amerogwa na nani ?
Majuto ni mjukuu .
Umewahi kufanya biashara yoyote , hata ya kuuza mapera au mahindi ya kuchemsha ?Kaingia juzi tu, zimedoda kwa siku ngapi...twakimu nani kafanya?
Huu udaku duh
Hakuna kitu kama hicho, unataka tu kumshusha binti wa watu aliyeamua kujiunga na CCM.
Upinzani kwa kutunga uongo, mnajishusha haswaaaaa.
Umewahi kufanya biashara yoyote , hata ya kuuza mapera au mahindi ya kuchemsha ?
Acha wivu kijana, fanya kazi siasa sio uhasama.....Huyo dada kwa elimu yake na ushawishi wake naamini muda sio mrefu atakwaa nafasi kubwa zaidi ndani ya chama ama serikalini.
Hongera Jokate siasa sio mkumbo bali malengo yako ya baadaye.....
Kwakulinganisha na yule aliyesajiliwa na bavicha juzi? Hakika bora JoketJokate huyu huyu aliyefanya sex remix na Diamond na Ally Kiba na Hashimu Thabiti ndio hajatumika? Pole yako.
Umeandika vizuri sana , lakini umesahau kwamba ukweli haufichiki .
mkuu hizi ni propaganda,
unaweza kutuwekea alikua anapokea shilingi ngapi na sasa anapokea shilingi ngapi,
yaani hata siku hazijapita tayari mshaanza kumpakaza dada wa watu,
Jokate kaza buti mwaya,
wasiponunua,wana CCM wenzio watanunua,lol
MBONA MO BIDHAA ZAKE HAZIPUUZWI,MUZIKI WA DIAMOND NA BIDHAA ZAKE NDIO ZINASHIKA KASI NA WOTE UPANDE WAO UNAFAHAMIKA, ILA DJ NA BIDHAA ZAKE NDIO ZIMEFILISIKA KAMA SIO KUFA KABISA (BILLCANAS) SASA UPANDE UPI HAPO NDIO WA HAKI?Siku zote tumefundishwa kuambatana na upande utendao haki , ukipuuza umekwisha !
Taarifa nilizozipata ni kwamba Kitendo cha Jokate kujiingiza kwenye siasa za ccm , chama ambacho kinachukiwa na vijana wengi sana wa Tanzania , bidhaa zake zimeanza kudoda .
Ikumbukwe kwamba dada huyu hujishughulisha na biashara mbalimbali ikiwemo biashara ya rasta , mtindo unapendwa zaidi na wasichana wa kisasa .
Nikajiuliza huyu dada ni kitu gani kimemfanya aharibu Brand yake haraka hivi kwa kujiegemeza kwenye chama kisichotakiwa , amerogwa na nani ?
Majuto ni mjukuu .
Mmmh lakini mi naona kama BAVICHA kwa upande huo wamewin kuwa na yule mdada wema maana sio utani yule dada anawafuasi weng na ushawishi mkubwa kuliko kidoti..... Nakiukweli sijui kama kuna mdada kwenye tasnia mwenye ushawishi kama yuleMa bavicha wanawaonea wivu wenzao wa uvccm kuchukua kifaa ambacho hakijatumika sana kulinganisha na kile walicho kuchukua wao juzi ambacho kilikuwa kimeshatupwa!
Bavicha ndiyo taasisi bora ya vijana kwenye ukanda wa maziwa makuu .Mmmh lakini mi naona kama BAVICHA kwa upande huo wamewin kuwa na yule mdada wema maana sio utani yule dada anawafuasi weng na ushawishi mkubwa kuliko kidoti..... Nakiukweli sijui kama kuna mdada kwenye tasnia mwenye ushawishi kama yule
Unajua kwanini Mo aliachana na siasa , au labda unadhani ni kwanini Mondi alimuomba msamaha Askofu Gwajima ? Chunga sana kijana .MBONA MO BIDHAA ZAKE HAZIPUUZWI,MUZIKI WA DIAMOND NA BIDHAA ZAKE NDIO ZINASHIKA KASI NA WOTE UPANDE WAO UNAFAHAMIKA, ILA DJ NA BIDHAA ZAKE NDIO ZIMEFILISIKA KAMA SIO KUFA KABISA (BILLCANAS) SASA UPANDE UPI HAPO NDIO WA HAKI?
Upo sahihi %100Bavicha ndiyo taasisi bora ya vijana kwenye ukanda wa maziwa makuu .
Mo kaacha siasa kvp? kuacha kugombea ndio kaacha siasa? huyo mondi kumuomba msamaha huyo jamaa ndio kumemtoa upande anaoukubali? Hoja dhaifu sana hizo! siasa si chuki kama mnavyotaka nyie mnaoshabikia mlisema mengi sana wakati wa kampeni ooh cjui huyo mondi mwisho wake ndio huo kwa kuipigia debe ccm lakini kiko wapi? usipende kuifananisha chama dola na saccos zinazotenza watu nguvu yaani siasa inafanywa kama imani dini kuwa hamna kuamini la upande tofauti huo ni upuuzi.Unajua kwanini Mo aliachana na siasa , au labda unadhani ni kwanini Mondi alimuomba msamaha Askofu Gwajima ? Chunga sana kijana .
Una uwezo mdogo sana ! Badala ya kuandika tu humu jaribu kufuatilia kinachoandikwa au muulize Nape .Mo kaacha siasa kvp? kuacha kugombea ndio kaacha siasa? huyo mondi kumuomba msamaha huyo jamaa ndio kumemtoa upande anaoukubali? Hoja dhaifu sana hizo! siasa si chuki kama mnavyotaka nyie mnaoshabikia mlisema mengi sana wakati wa kampeni ooh cjui huyo mondi mwisho wake ndio huo kwa kuipigia debe ccm lakini kiko wapi? usipende kuifananisha chama dola na saccos zinazotenza watu nguvu yaani siasa inafanywa kama imani dini kuwa hamna kuamini la upande tofauti huo ni upuuzi.
Una uwezo mdogo sana ! Badala ya kuandika tu humu jaribu kufuatilia kinachoandikwa au muulize Nape .[/QUOTE
Tatizo kubwa sana la vijana wadogo kama nyie ni kudhani kila anaepinga hoja zenu ni ccm! hapo ndio mnapokesea vijana wa 90s mnatakiwa kujua kama mna mpango wa kuuza propaganda zenu jaribuni kujua ni kina nani wanaokubali propaganda zenu na kina nani apart from ccm wanoweza kukataa hoja za kijinga kama hizi! ili mpate njia mbadala ya kuweza kuleta ushawishi kwa watu wote na mpate kuungwa mkono kwa wingi.Lakini kuleta propaganda chakavu kama hizi za cjui mtu mwenye influence kijana akiingia ccm amejiharibia zilishafeli tangu 2015. Mimi sifuatilii nani kasema nn mimi naangalia nani kaandika utumbo nimjibu so huyo jamaa yako uliemtaja endelea kumfuatilia tu.
Una uwezo mdogo sana ! Badala ya kuandika tu humu jaribu kufuatilia kinachoandikwa au muulize Nape .