Baada Jokate kuingia rasmi UVCCM , Brand ya KIDOTI yaanza kupuuzwa

Siku zote tumefundishwa kuambatana na upande utendao haki , ukipuuza umekwisha !

Taarifa nilizozipata ni kwamba Kitendo cha Jokate kujiingiza kwenye siasa za ccm , chama ambacho kinachukiwa na vijana wengi sana wa Tanzania , bidhaa zake zimeanza kudoda .

Ikumbukwe kwamba dada huyu hujishughulisha na biashara mbalimbali ikiwemo biashara ya rasta , mtindo unapendwa zaidi na wasichana wa kisasa .

Nikajiuliza huyu dada ni kitu gani kimemfanya aharibu Brand yake haraka hivi kwa kujiegemeza kwenye chama kisichotakiwa , amerogwa na nani ?

Majuto ni mjukuu .

Unafkri yeye mjinga...hyo kidoti inajulikana dsm tuu...CCM ni tanzania nzima, na huko ndo kuna kisima cha hela...acha uchadema kwenye maisha ya watu...hasa huu uchumi unaoyumba
 
Kaingia juzi tu, zimedoda kwa siku ngapi...twakimu nani kafanya?

Huu udaku duh

Hakuna kitu kama hicho, unataka tu kumshusha binti wa watu aliyeamua kujiunga na CCM.

Upinzani kwa kutunga uongo, mnajishusha haswaaaaa.
 
Umewahi kufanya biashara yoyote , hata ya kuuza mapera au mahindi ya kuchemsha ?
 
Acha wivu kijana, fanya kazi siasa sio uhasama.....Huyo dada kwa elimu yake na ushawishi wake naamini muda sio mrefu atakwaa nafasi kubwa zaidi ndani ya chama ama serikalini.

Hongera Jokate siasa sio mkumbo bali malengo yako ya baadaye.....

Elimu hipi ya Masters tu
 
Acha wivu. Unaoma master's ndogo? Mwacheni binti na msimfananishe na wasanii wasio na Shule. It's unfair. Binti yuko vizuri hata kama hutaki. Tatizo tumezoea kuwa na wasanii wenye historia mbaya mashuleni, wavivu na wenye vituko then tunachukulia usanii ni uhuni. Hapana.
Mwacheni afanye kazi na naamini anaweza maana ana akili ya kuthubutu na sio tegemezi.
 
Umeandika vizuri sana , lakini umesahau kwamba ukweli haufichiki .

Ukweli upi ambao haufichiki? Kila mtu ana sababu za kupenda chama anachokitaka, usilazimishe kama ww uko Chama fulani kwa matakwa yako na mwingine ana haki sawa kwa kufuata uhuru wa kikatiba tulionao.

Acheni kuwachagulia watu vyama, uanachama siyo kabila kwamba mtu auhami na wala huwezi kushurutishwa eti watu wameacha kununua bidhaa zenye brand ya Kidoti huu ni ufinyu wa mawazo na ndiyo maana uelewa wa kisiasa Tanzania haukui.
 
mkuu hizi ni propaganda,

unaweza kutuwekea alikua anapokea shilingi ngapi na sasa anapokea shilingi ngapi,

yaani hata siku hazijapita tayari mshaanza kumpakaza dada wa watu,

Jokate kaza buti mwaya,

wasiponunua,wana CCM wenzio watanunua,lol

Uwe unamshauri basi atulie, mtu msomi lakini amejiweka kundi moja na wasiojielewa wakina Kajala, wolper au Snura
 
Siku zote tumefundishwa kuambatana na upande utendao haki , ukipuuza umekwisha !

Taarifa nilizozipata ni kwamba Kitendo cha Jokate kujiingiza kwenye siasa za ccm , chama ambacho kinachukiwa na vijana wengi sana wa Tanzania , bidhaa zake zimeanza kudoda .

Ikumbukwe kwamba dada huyu hujishughulisha na biashara mbalimbali ikiwemo biashara ya rasta , mtindo unapendwa zaidi na wasichana wa kisasa .

Nikajiuliza huyu dada ni kitu gani kimemfanya aharibu Brand yake haraka hivi kwa kujiegemeza kwenye chama kisichotakiwa , amerogwa na nani ?

Majuto ni mjukuu .
MBONA MO BIDHAA ZAKE HAZIPUUZWI,MUZIKI WA DIAMOND NA BIDHAA ZAKE NDIO ZINASHIKA KASI NA WOTE UPANDE WAO UNAFAHAMIKA, ILA DJ NA BIDHAA ZAKE NDIO ZIMEFILISIKA KAMA SIO KUFA KABISA (BILLCANAS) SASA UPANDE UPI HAPO NDIO WA HAKI?
 
Njaa kal kaona biashara haimlp now kamua kujhucsha na nyinyim, kuanzia Leo mke wangu n marufuku
Kutumia buzaa na huyu mwanadaa
 
Ma bavicha wanawaonea wivu wenzao wa uvccm kuchukua kifaa ambacho hakijatumika sana kulinganisha na kile walicho kuchukua wao juzi ambacho kilikuwa kimeshatupwa!
Mmmh lakini mi naona kama BAVICHA kwa upande huo wamewin kuwa na yule mdada wema maana sio utani yule dada anawafuasi weng na ushawishi mkubwa kuliko kidoti..... Nakiukweli sijui kama kuna mdada kwenye tasnia mwenye ushawishi kama yule
 
Bavicha ndiyo taasisi bora ya vijana kwenye ukanda wa maziwa makuu .
 
MBONA MO BIDHAA ZAKE HAZIPUUZWI,MUZIKI WA DIAMOND NA BIDHAA ZAKE NDIO ZINASHIKA KASI NA WOTE UPANDE WAO UNAFAHAMIKA, ILA DJ NA BIDHAA ZAKE NDIO ZIMEFILISIKA KAMA SIO KUFA KABISA (BILLCANAS) SASA UPANDE UPI HAPO NDIO WA HAKI?
Unajua kwanini Mo aliachana na siasa , au labda unadhani ni kwanini Mondi alimuomba msamaha Askofu Gwajima ? Chunga sana kijana .
 
Mo kaacha siasa kvp? kuacha kugombea ndio kaacha siasa? huyo mondi kumuomba msamaha huyo jamaa ndio kumemtoa upande anaoukubali? Hoja dhaifu sana hizo! siasa si chuki kama mnavyotaka nyie mnaoshabikia mlisema mengi sana wakati wa kampeni ooh cjui huyo mondi mwisho wake ndio huo kwa kuipigia debe ccm lakini kiko wapi? usipende kuifananisha chama dola na saccos zinazotenza watu nguvu yaani siasa inafanywa kama imani dini kuwa hamna kuamini la upande tofauti huo ni upuuzi.
 
Una uwezo mdogo sana ! Badala ya kuandika tu humu jaribu kufuatilia kinachoandikwa au muulize Nape .
 
Una uwezo mdogo sana ! Badala ya kuandika tu humu jaribu kufuatilia kinachoandikwa au muulize Nape .[/QUOTE
Tatizo kubwa sana la vijana wadogo kama nyie ni kudhani kila anaepinga hoja zenu ni ccm! hapo ndio mnapokesea vijana wa 90s mnatakiwa kujua kama mna mpango wa kuuza propaganda zenu jaribuni kujua ni kina nani wanaokubali propaganda zenu na kina nani apart from ccm wanoweza kukataa hoja za kijinga kama hizi! ili mpate njia mbadala ya kuweza kuleta ushawishi kwa watu wote na mpate kuungwa mkono kwa wingi.Lakini kuleta propaganda chakavu kama hizi za cjui mtu mwenye influence kijana akiingia ccm amejiharibia zilishafeli tangu 2015. Mimi sifuatilii nani kasema nn mimi naangalia nani kaandika utumbo nimjibu so huyo jamaa yako uliemtaja endelea kumfuatilia tu.
 
Back
Top Bottom