NYINYI NDO MLISHANGILIA KIFO CHA MOLLELWaafrika hatima akili hata ya kiwango Cha nyani. Watu Bado tumeendelea kukomaa kwamba Wapalestina waendelee kufa tu kisa waliichokiza Israel wakati wenye akili wanasema GAZA inekuwa gereza la wazi miaka mingi
Acha dharau ww kwa hiyo waliochangia wote humu unaona ni mazoba 🥸Wachangiaji wengi wanaendeshwa na mihemko,hawajadili facts!Jukwaa limekuwa Kama kijiwe Cha kahawa au kibaraza Cha mipasho,ni nadra sana kukutana na comment ambayo Kama mtu mweledi unasema Yes,nimepata kitu!
Michango mingi humu ni nonsense!
Ushawahi kujiuliza kwa nini Hamas walikwenda Israel kushambulia! Au una conclude kwa ulicho kiona siku ile ya tarehe 7?Hamas walipovamia Israel wakaua na kuteka watu, mlishangilia wala hamkusema Mambo ya Gereza wala Kaburi. Mliwaita Makomandoo.
Leo mumebanwa makagare mnaanza kuokoteza vihabari vya kuwatetea Hamas na kutia tia huruma. Mara mposti picha watoto wamekufa. Nani aliwaambia vita ina macho? Wanawake na watoto tunasema wamekufa vitani. Hadi mtakapojifunza kuwalinda watoto wenu na wwke zetu. Otherwise mtabaki wanaume tu ndani ya mahandaki. Na bado mtanyoka. Piga hao Hamas na ndugu zao
Wewe umekuja duniani Kwa hasara maana huna akili kabisa
Walianzisha ugomvi wakiwa hawana uhakika wa chakula. Sasa wanaiba chakula cha msaada. Wengine walidhani Israeli ni sawa na DRC.Hamas inatakiwa ifutwe kwenye uso wa dunia magaidi wakubwa hao, wameua watanzania kikatili bila kosa ngoja na wenyewe waipate.
Hata Mimi hiki kitu kinanishangaza Sana kwanini watu wengi wanatetea sana Gaza, Israeli hawakufa watoto? na wanawake?.Hamas walipovamia Israel wakaua na kuteka watu, mlishangilia wala hamkusema Mambo ya Gereza wala Kaburi. Mliwaita Makomandoo.
Leo mumebanwa makagare mnaanza kuokoteza vihabari vya kuwatetea Hamas na kutia tia huruma. Mara mposti picha watoto wamekufa. Nani aliwaambia vita ina macho? Wanawake na watoto tunasema wamekufa vitani. Hadi mtakapojifunza kuwalinda watoto wenu na wwke zetu. Otherwise mtabaki wanaume tu ndani ya mahandaki. Na bado mtanyoka. Piga hao Hamas na ndugu zao
Washughulikiwe bila huruma! Kwanza waliwaua Watanzania wenzetu bila hatiaWaafrika hatima akili hata ya kiwango Cha nyani. Watu Bado tumeendelea kukomaa kwamba Wapalestina waendelee kufa tu kisa waliichokiza Israel wakati wenye akili wanasema GAZA inekuwa gereza la wazi miaka mingi
Haki gani hiyo ya kuteka kubaka na kuuwa raia wasiokua na hatia.Hiyo ni nchi yao wazayuni wavamizi ipo siku haki itashinda hata kama Hamas iliteka siyo sababu ya kuwadhibu watoto wasio kuwa na hatia
Hamas inatakiwa ifutwe kwenye uso wa dunia magaidi wakubwa hao, wameua watanzania kikatili bila kosa ngoja na wenyewe waipate.
Washughulikiwe bila huruma! Kwanza waliwaua Watanzania wenzetu bila hatia
Kwa hiyo kwao wazayuni ni wapi?Hiyo ni nchi yao wazayuni wavamizi ipo siku haki itashinda hata kama Hamas iliteka siyo sababu ya kuwadhibu watoto wasio kuwa na hatia
Ukichangia wewe hiyo yenye sense inatoshaWachangiaji wengi wanaendeshwa na mihemko,hawajadili facts!Jukwaa limekuwa Kama kijiwe Cha kahawa au kibaraza Cha mipasho,ni nadra sana kukutana na comment ambayo Kama mtu mweledi unasema Yes,nimepata kitu!
Michango mingi humu ni nonsense!
Bahati mbaya wewe mgogoro wa gaza unadhan umeanza hamas walipovamia October,Hata Mimi hiki kitu kinanishangaza Sana kwanini watu wengi wanatetea sana Gaza, Israeli hawakufa watoto? na wanawake?.
I mean Gaza kaanza kupiga Israeli akiwa amelala akaua watu wake,Ila Israeli alipoamua kujitetea ndio akawa kakosea?
Halafu watu wanaokomaa eti " pray for Gaza" mara sijui human rights (Tena waafrika)wengi wao ni wanafiki tu, wewe Kama unataka kupray Basi pray for victims on both countries kwa sababu hiyo ni vita na vita haina macho victims wote wanaokufa hawahusiki kabisa(refer Joshua Molel).
Mbona ndugu zetu huko Sudan na hapa Congo tu wanakufa na vita ambayo haiishi lakini Hawa wanaojiita watetezi wa watoto na wanawake na prayer warriors hawasemi kitu, what's so special about Gaza?.
Magaidi yalikua yanaua kila raia aliekua mbele yao. Haijalishi kama unahusika ama la.Kama walihusika kuuwa ndugu zetu waislamu basi ni halali yao kuuawa, japo hakuna ukweli kama wameuawa na Hamas/freedom fighters
Weka clip hapa tuone kama wameuwa na hamas na sio kuleta chuki hapa
Waafrika uwezo wenu ni mdogo sana. Uislamu na haki za wapalestina walioporwa ardhi kwa nguvu tangu mwaka 1947 na wazungu kunahusiana nini? Kwani ili muweze kuchambua na kutetea haki za watu kuishi chini ya jua lazima muihusishe dini?Aliyefungua hiyo kesi ICJ Africa kusini ni Muislamu mwanamama swala tano waziri wa mambo ya nchi za nje wa Afrika ya kusini
Chief Prosecutor wa ICJ ambaye aliwakilisha hayo mashtaka dhidi ya Israel ICJ ni Muislamu Karim
Ulitegemea Israel iheshimu maamuzi ya waislamu ambao inaoambana nao Gaza?
Waisrael ndo wanawaona ninhyi Nyani wasio na maana duniani. Bora anayekuona Mtumwa kuliko anayekuweka kundi moja na Nyani.NYINYI NDO MLISHANGILIA KIFO CHA MOLLEL
JIITE NYANI KABISA , WAPALESTINA HATA KUWATAMBUA KAMA BINADAMU HAWAWEZ ILA UPO BUSY KUWASHABIKIA
WAO WANAKUITA MTUMWA