pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Waliyataka wenyewe!
Acha wajifunze kwa matendo yao!
Acha wajifunze kwa matendo yao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulishawahi kujiuliza kwanini jambazi kakuvamia kwakoUshawahi kujiuliza kwa nini Hamas walikwenda Israel kushambulia! Au una conclude kwa ulicho kiona siku ile ya tarehe 7?
Ni utetezi uliojaa unafiki kwa mihemko ya kidini eti kisa wapalestina ni waislamu ndio wanatetewa sana mbona nigeria wakristo wanakufa , mbona sudan na DRC waislamu na wakristo wanauawa hatusikii waislamu mnalalamikaHata Mimi hiki kitu kinanishangaza Sana kwanini watu wengi wanatetea sana Gaza, Israeli hawakufa watoto? na wanawake?.
I mean Gaza kaanza kupiga Israeli akiwa amelala akaua watu wake,Ila Israeli alipoamua kujitetea ndio akawa kakosea?
Halafu watu wanaokomaa eti " pray for Gaza" mara sijui human rights (Tena waafrika)wengi wao ni wanafiki tu, wewe Kama unataka kupray Basi pray for victims on both countries kwa sababu hiyo ni vita na vita haina macho victims wote wanaokufa hawahusiki kabisa(refer Joshua Molel).
Mbona ndugu zetu huko Sudan na hapa Congo tu wanakufa na vita ambayo haiishi lakini Hawa wanaojiita watetezi wa watoto na wanawake na prayer warriors hawasemi kitu, what's so special about Gaza?.
Lakini waliowaua ni wapalestina hivyo na wenyewe ngoja wauwawe tu maanake ni unyama unyama.Umejuaje kama ni hamas wamewauwa ndugu zako wayahudi weusi?
Na kama ni hamas wamewauwa utasemaje wamewaua bila kosa! Mbona mateka wameshikiliwa na kuachiliwa bila kudhuriwa!
View attachment 2939415
Hivi siku wao wananzisha vita walipiga kambi za jeshi na sio makazi ya watu na kiteka raia.2. IDF wanapiga makazi ya watu kwa nguvu zote na kuua watu bila sababu na hakuna anayeizuia
Tulikwambia humi kwamba SA hawapendi magaidi ukatutukana kwa taarifa yako wenye akili kubwa tulijua tu kuwa huo ulikuwa ni upumbavu tu wa waswahili wa SAMuda mrefu ilielezwa kuwa Gaza ndio gereza kubwa la wazi duniani lililowafungia watu karibu milioni 2.5
Baada ya hilo mshauri wa mambo ya nje wa jumuiya ya Ulaya,Joseph Borell amesema eneo hilo pia linapaswa kuitwa ni kaburi la sheria walizojiwekea binadamu.
Uchaguzi wake wa jina hilo bila shaka umekuja baada ya kuona mengi ambayo yamekuwa yakiendelea kinyume na yalivyo kwenye makaratasi.
Na sijui ni nani tena atakayetoka nchi za Ulaya na Marekani kwenda nchi nyengine kuhimiza utawala bora na utawala wa kisheria pamoja na demokrasia.
Mimi binafsi namuongezea kuwa Gaza ni kaburi pia la ubinadamu.
1. Hukumu ya ICJ iliyotolewa baada ya mashtaka ya Afrika kusini yamepuuzwa na hakuna aliyehoji
2. IDF wanapiga makazi ya watu kwa nguvu zote na kuua watu bila sababu na hakuna anayeizuia
3. Israel imezuia chakula kisiingie Gaza mbele ya macho ya walimwengu na wameshindwa kutumia nguvu kupitisha chakula hicho kama ilivyopendekezwa na SA.
4. Kawaida binadamu ukimshambulia mama au ndugu zake huwa mkali na lazima atatumia kila silaha aliyonayo kupigana na adui huyo.Kwa upande wa Gaza wanapigwa na kugaragazwa mbele ya macho yao lakini wao wanaendelea kula pilau zao.
War in Gaza a graveyard for humanitarian law, top EU diplomat says
Jinga wewe. Na bado mtapigwa wajinga nyieWaafrika hatima akili hata ya kiwango Cha nyani. Watu Bado tumeendelea kukomaa kwamba Wapalestina waendelee kufa tu kisa waliichokiza Israel wakati wenye akili wanasema GAZA inekuwa gereza la wazi miaka mingi
Israel kama anafanya kile kile alichofanya Hamas,basi serikali ya israel na jeshi lake ni magaidi pia!Magaidi yalikua yanaua kila raia aliekua mbele yao. Haijalishi kama unahusika ama la.
Ilikua random massacre
Basi kwa kipimo hicho hicho,serikali ya israel itambulike kama serikali ya kigaidi!Hivi siku wao wananzisha vita walipiga kambi za jeshi na sio makazi ya watu na kiteka raia.
Iweje leo IDF alalamikiwe kupiga makazi ya watu? Nadhani wanalipa kisasi tu wakimaliza wataacha lkn Gaza kaskazini itabaki Zirail
Inajitahidi sana kuminimize civilian casualties. Kumbuka Gaza ni dense population area na pia magaidi yanatumia miundo mbinu ya kiraia kufanya mashambuliziIsrael kama anafanya kile kile alichofanya Hamas,basi serikali ya israel na jeshi lake ni magaidi pia!
Usichokijua ni kwamba. Tukio la October 7 limepelekwa Gaza kwahiyo kazi kwenu sasa.Muda mrefu ilielezwa kuwa Gaza ndio gereza kubwa la wazi duniani lililowafungia watu karibu milioni 2.5
Baada ya hilo mshauri wa mambo ya nje wa jumuiya ya Ulaya,Joseph Borell amesema eneo hilo pia linapaswa kuitwa ni kaburi la sheria walizojiwekea binadamu.
Uchaguzi wake wa jina hilo bila shaka umekuja baada ya kuona mengi ambayo yamekuwa yakiendelea kinyume na yalivyo kwenye makaratasi.
Na sijui ni nani tena atakayetoka nchi za Ulaya na Marekani kwenda nchi nyengine kuhimiza utawala bora na utawala wa kisheria pamoja na demokrasia.
Mimi binafsi namuongezea kuwa Gaza ni kaburi pia la ubinadamu.
1. Hukumu ya ICJ iliyotolewa baada ya mashtaka ya Afrika kusini yamepuuzwa na hakuna aliyehoji
2. IDF wanapiga makazi ya watu kwa nguvu zote na kuua watu bila sababu na hakuna anayeizuia
3. Israel imezuia chakula kisiingie Gaza mbele ya macho ya walimwengu na wameshindwa kutumia nguvu kupitisha chakula hicho kama ilivyopendekezwa na SA.
4. Kawaida binadamu ukimshambulia mama au ndugu zake huwa mkali na lazima atatumia kila silaha aliyonayo kupigana na adui huyo.Kwa upande wa Gaza wanapigwa na kugaragazwa mbele ya macho yao lakini wao wanaendelea kula pilau zao.
War in Gaza a graveyard for humanitarian law, top EU diplomat says
Mlichokifanya october 7 ndiyo malipo yenyewe.Basi kwa kipimo hicho hicho,serikali ya israel itambulike kama serikali ya kigaidi!
Wanajitahidi vipi wakati Israel imevunja record zote za vita,haijawahi kutokea!ICJ wenyewe wameanalyse hiyo vita na wameona kuwa inachofanya ina viashiria vya Genocide,wewe ni nani unapingana na watu waliobobea kwenye nyanja hizo?Inajitahidi sana kuminimize civilian casualties. Kumbuka Gaza ni dense population area na pia magaidi yanatumia miundo mbinu ya kiraia kufanya mashambulizi
Kama mada imekuzidi kimo,,kaa kando tu na si majibu ya rejareja kama haya!Mlichokifanya october 7 ndiyo malipo yenyewe.
Wote wenye akili wanalijua hilo na kwamba hadithi haikuanza oktoba 7.Usichokijua ni kwamba. Tukio la October 7 limepelekwa Gaza kwahiyo kazi kwenu sasa.
Nikanyage kwa bahati mbaya nikulipue kwa makusudi
Ulichoandika, unanikumbusha wale wa karibu kwenye dini ya haki halafu ikifika kwenye mfungo wanaanza kuchapa watu bakora kwasababu wanakula (hawafungi)😀😀😀😀Kama mada imekuzidi kimo,,kaa kando tu na si majibu ya rejareja kama haya!
Subiri waje wengine ambao mnafanana uwezo wa kufikiri na kujenga hoja ndio uendelee nao!Nikutakie jioni njema!Ulichoandika, unanikumbusha wale wa karibu kwenye dini ya haki halafu ikifika kwenye mfungo wanaanza kuchapa watu bakora kwasababu wanakula (hawafungi)😀😀😀😀
Umeshikilia mateka halafu unasema mada imekuzidi kimo kama wale ndugu zenu waliolipuliwa wakigombea chakula cha msaada wa Marekani😀😀😀😀😀
Wenye akili wote wanajua hiyo ni ardhi ya Israel ndiyo maana hautaona taifa lolote linawatetea wapelestina kwasababu wapelestina ni wavamizi kwenye ardhi ya Israel.Wote wenye akili wanalijua hilo na kwamba hadithi haikuanza oktoba 7.
Jiulize kwanini Gaza hakuna majuto bali kuna maumivu tu nayo yataisha pia.