Baada kuwa gereza kubwa la wazi, Gaza imegeuka ni kaburi la sheria za kibinadamu

Ni utetezi uliojaa unafiki kwa mihemko ya kidini eti kisa wapalestina ni waislamu ndio wanatetewa sana mbona nigeria wakristo wanakufa , mbona sudan na DRC waislamu na wakristo wanauawa hatusikii waislamu mnalalamika
 
2. IDF wanapiga makazi ya watu kwa nguvu zote na kuua watu bila sababu na hakuna anayeizuia
Hivi siku wao wananzisha vita walipiga kambi za jeshi na sio makazi ya watu na kiteka raia.

Iweje leo IDF alalamikiwe kupiga makazi ya watu? Nadhani wanalipa kisasi tu wakimaliza wataacha lkn Gaza kaskazini itabaki Zirail
 
Tulikwambia humi kwamba SA hawapendi magaidi ukatutukana kwa taarifa yako wenye akili kubwa tulijua tu kuwa huo ulikuwa ni upumbavu tu wa waswahili wa SA

Sasa tuambie, Hamas wanapigika au hawapigiki?
 
Tulikwambia humi kwamba SA hawapendi magaidi ukatutukana kwa taarifa yako wenye akili kubwa tulijua tu kuwa huo ulikuwa ni upumbavu tu wa waswahili wa SA

Sasa tuambie, Hamas wanapigika au hawapigiki?
hujaeleweka kabisa.
 
Waafrika hatima akili hata ya kiwango Cha nyani. Watu Bado tumeendelea kukomaa kwamba Wapalestina waendelee kufa tu kisa waliichokiza Israel wakati wenye akili wanasema GAZA inekuwa gereza la wazi miaka mingi
Jinga wewe. Na bado mtapigwa wajinga nyie
 
Magaidi yalikua yanaua kila raia aliekua mbele yao. Haijalishi kama unahusika ama la.
Ilikua random massacre
Israel kama anafanya kile kile alichofanya Hamas,basi serikali ya israel na jeshi lake ni magaidi pia!
 
Hivi siku wao wananzisha vita walipiga kambi za jeshi na sio makazi ya watu na kiteka raia.

Iweje leo IDF alalamikiwe kupiga makazi ya watu? Nadhani wanalipa kisasi tu wakimaliza wataacha lkn Gaza kaskazini itabaki Zirail
Basi kwa kipimo hicho hicho,serikali ya israel itambulike kama serikali ya kigaidi!
 
Israel kama anafanya kile kile alichofanya Hamas,basi serikali ya israel na jeshi lake ni magaidi pia!
Inajitahidi sana kuminimize civilian casualties. Kumbuka Gaza ni dense population area na pia magaidi yanatumia miundo mbinu ya kiraia kufanya mashambulizi
 
Usichokijua ni kwamba. Tukio la October 7 limepelekwa Gaza kwahiyo kazi kwenu sasa.
Nikanyage kwa bahati mbaya nikulipue kwa makusudi
 
Inajitahidi sana kuminimize civilian casualties. Kumbuka Gaza ni dense population area na pia magaidi yanatumia miundo mbinu ya kiraia kufanya mashambulizi
Wanajitahidi vipi wakati Israel imevunja record zote za vita,haijawahi kutokea!ICJ wenyewe wameanalyse hiyo vita na wameona kuwa inachofanya ina viashiria vya Genocide,wewe ni nani unapingana na watu waliobobea kwenye nyanja hizo?
 
Usichokijua ni kwamba. Tukio la October 7 limepelekwa Gaza kwahiyo kazi kwenu sasa.
Nikanyage kwa bahati mbaya nikulipue kwa makusudi
Wote wenye akili wanalijua hilo na kwamba hadithi haikuanza oktoba 7.
Jiulize kwanini Gaza hakuna majuto bali kuna maumivu tu nayo yataisha pia.
 
Kama mada imekuzidi kimo,,kaa kando tu na si majibu ya rejareja kama haya!
Ulichoandika, unanikumbusha wale wa karibu kwenye dini ya haki halafu ikifika kwenye mfungo wanaanza kuchapa watu bakora kwasababu wanakula (hawafungi)πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Umeshikilia mateka halafu unasema mada imekuzidi kimo kama wale ndugu zenu waliolipuliwa wakigombea chakula cha msaada wa MarekaniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Subiri waje wengine ambao mnafanana uwezo wa kufikiri na kujenga hoja ndio uendelee nao!Nikutakie jioni njema!
 
Wote wenye akili wanalijua hilo na kwamba hadithi haikuanza oktoba 7.
Jiulize kwanini Gaza hakuna majuto bali kuna maumivu tu nayo yataisha pia.
Wenye akili wote wanajua hiyo ni ardhi ya Israel ndiyo maana hautaona taifa lolote linawatetea wapelestina kwasababu wapelestina ni wavamizi kwenye ardhi ya Israel.
Meenda mpaka ICJ. Holaa! Mlichoharibu ni tukio la october 7 na kuwachukua mateka mpaka sasa. Hata mm sina msaada wowote na wapelestina na wala siwezi kuwaonea huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…