Baada tu ya kuoa, wanawake wananipapatikia hadi kero

Baada tu ya kuoa, wanawake wananipapatikia hadi kero

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Mara tu baada ya kufunga ndoa takatifu wanawake wameanza kujitongozesha si kazini, gym wala mtaani. Najiuliza walikua wapi mpaka Naoa huyu mnyakyusa wangu Atuganile?
 

Attachments

  • IMG-20240813-WA0009.jpg
    IMG-20240813-WA0009.jpg
    366 KB · Views: 4
Ukitaka kujua kuna wanawake wazuri wameumbwa wakaumbika OA tu waweza juta kumuoa uliyemuoa

Kumbuka pia
Nusu ya thamani ya kitu hupungua baada ya kukipata

Hizo kero zivumilie ukishamchoka utakuwa unapiga nje ya ndani inakinai!
 
Back
Top Bottom