Nitakujibu hivi:
The more spiritual a man becomes, the more attractive he is. Therefore, a woman is a spiritual supplement to a man.
Kuwa spiritual man haimaanishi mtu wa Dini , unaweza kuwa hata mganga wa kienyeji kinachoangaliwa ni ile nguvu inayoambatana na Aura yako, ki'asilia kila.mtu anazaliwa na nguvu asili ambayo haionekani.
Kurahisisha binadamu wote tunazaliwa na special Aura ambao ndio msingi wa mvuto wetu , kuna wale wenye Aura kubwa au kuzidi hawa wanakuwa na mvuto zaidi ya wale wenye Aura ndogo..
Kwa mwanaume kadri anavyofanya Sex Aura(mvuto) yake inaimarika , ndio maana kwa utafuti usio rasmi ni rahisi mwanaume ambae yupo kwenye relationship kupata mpenzi mwingine kwa haraka kuliko yule ambae ni single(Thibitisha hili mtaani kwenu) , hivyo hivyo hata kwa mwanaume alie oa.
ANYWAY hii ni somo kabisa , naandaa kitabu kitatoka soon utakutana na kwanini wanawake ni dhaifu sana mbele ya watu wa dini.
Kuna mtu atakuja kubisha hapa hasa wale wasio amini katika Spiritual world