Affet
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,189
- 1,672
Hyo kawaida ndugu kwani kipindi Simba inachukua si ilikuwa sababu ya uzembe wa Yanga? So usilete excuse mlikuwa bora mkabeba this time tuko bora tumebeba mambo ya ooh simba ingekuwa siriaz sijui kutodharau mechi ni kutafuta sababu tu msimu huu hamkuwa na timu nakuunga mkono kwamba kimataifa vikosi vyote ni dhaifu inatupasa tusajili ila kibongobongo huwezi kuniambia eti tunafanana!Yanga msitambe Sana ,kiukweli mna timu ya kawaida Sana na mkifanya ujinga wa kujiamin eti tuna timu nzur mkaacha kusajir mnatolewa mapema tu.
Pamoja na Simba kuwa na kikosi Cha wastan kwa msimu wangekua serious na mechi za mwanzon na kufanya kila mechi ni ya muhimu leo hii yangekua mengine.
Yanga mmebeba ubingwa kwa uzembe wa Simba na kuishi kwa mazoea .
Rejea mechi alizopoteza Simba na kudraw ndipo utaelewa ninachosema.
Simba wangekua serious na kujituma km ambavyo yanga walikua wanaona ni fainal kila anapokutana na timu yeyote mpaka saiz Simba na yanga wangekua wanazidiana magoli Kama sio point moja na bingwa angekuja patikana Hadi mechi ya mwisho.
Lakin ni jambo jema unapolala mwenzio anakuwahi ndicho kilichitokea na itawapa umakin Hawa Simba kutodharau mechi yoyote ile iliyo mbele yao.
Narudia Tena Simba na yanga wana vikosi vya kawaida hasa kimataifa atakayesajil vzr ndie ataonekana Ila kwa upande wa yanga kuwategemea Fei,aucho,moloko,djuma ,mwamnyeto big no.