Baada tu ya mchezo kuisha jana wafuatao ndio wanapitia wakati mgumu

Hyo kawaida ndugu kwani kipindi Simba inachukua si ilikuwa sababu ya uzembe wa Yanga? So usilete excuse mlikuwa bora mkabeba this time tuko bora tumebeba mambo ya ooh simba ingekuwa siriaz sijui kutodharau mechi ni kutafuta sababu tu msimu huu hamkuwa na timu nakuunga mkono kwamba kimataifa vikosi vyote ni dhaifu inatupasa tusajili ila kibongobongo huwezi kuniambia eti tunafanana!
 
Simba anakarabati nyumba. Yanga anafanya finishing .Nani mjanja?
 
Sure
 
Moja ya maoni ya hovyo kabisa tangu msimu huu uanze

Moja ya maoni ya hovyo kabisa tangu msimu huu uanze
 
aawapi...

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kijana ukiishabikia sana yanga ukizeeka ndio michawi yenyewe hiyo
 
Mimi Kuna wakati niliwahi Mwamba okwi bobani🏃
 
Hivi kweli Simba ni ya kuteseka kwa ushindi misimu minne mfululizo? Yani nyie vyura ndo mnateseka maana hamuamini macho yenu. Simba ss ni rahaaa tunaipenda timu yetu iwe mvua iwe jua
 
Hivi kweli Simba ni ya kuteseka kwa ushindi misimu minne mfululizo? Yani nyie vyura ndo mnateseka maana hamuamini macho yenu. Simba ss ni rahaaa tunaipenda timu yetu iwe mvua iwe jua
Mtajua wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…