Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bao gani... Simba vs Azam??Jiwe la msingi limeandikwa kwa mark pen. Jengo ambalo ni duka la wananzengo.
Huu ni utapeli mkubwa sana wa kisiasa.
View attachment 2400618
Tukubali kukosolewa,ni aibu kuendelea kupangisha ofisi za makao makuu.Unafananisha CHADEMA na kikundi cha wahuni wenye wanachama sita bara na visiwani.
Muulize babaako JiWE alichokutana nacho alipopambana na chama kisicho na ofisi (CHADEMA)
Kuna kukosoa na upumbavu,aliyekuambia CHADEMA imepanga ofisi ya makao makuu ni nani?Tukubali kukosolewa,ni aibu kuendelea kupangisha ofisi za makao makuu.
Tuendelee mpaka lini kutegemea michango ya maskini watanzania kwenye kujenga ofisi?
Fedha za ruzuku hakuna percent za kujengea ofisi?
Viongozi waache ubinafsi