Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,933
Mwanaume Bora labda Kwa huko Daslamu kwenuEti mwanaume bora wa mwaka?
Wametumia metrics zipi kumuita mwanaume bora wa mwaka?
Alikua anashindanishwa na nani?
View attachment 3491312
Mwanaume Bora labda Kwa huko Daslamu kwenuEti mwanaume bora wa mwaka?
Wametumia metrics zipi kumuita mwanaume bora wa mwaka?
Alikua anashindanishwa na nani?
View attachment 3491312
Ha ha haa spika zimepasuka!Hawa ndio wale wanaume waliokuwa wakijivunia Spika zao.
Naunga mkono hojaDaslam Kuna mambo ya kipumbavu sana.
😀😀😀Daslam Kuna mambo ya kipumbavu sana.
Kwani unateseka ?Eti mwanaume bora wa mwaka?
Wametumia metrics zipi kumuita mwanaume bora wa mwaka?
Alikua anashindanishwa na nani?
View attachment 3491312
Mkuu yaani ww bila kum tag haszu naona siku yako inakua haija timia kweli anPamoja na kua siwakubali machoko ila huwa nawaonea huruma maisha yao ya kupretend wana furaha.
Huyo chalii hata ongea yake daah mwamba bado ana safari ndefu kurudi kusaidia jamii katika jukumu zima la kuzichakata hizi mbususu zilizosambaa kila kona ya dunia.
Bila shaka washindani wake wakubwa walikua rafiki wakubwa wa Poor Brain ndgu hanszu ,DIVISHENI FOO na BICHWA KOMWE -