Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,000
- 2,141
Kama kawaida baada ya timu yao pendwa kutolewa wataona umuhimu wa kuifuta hiyo sheria
Wazungu wapo.mbele ya mda goli la ugenini ni uonevu pia hupelekea fitina timu ikiwa nyumbaniKama kawaida baada ya timu yao pendwa kutolewa wataona umuhimu wa kuifuta hiyo sheria
Tatizo uefa wametangulia kufuta--Kama kawaida baada ya timu yao pendwa kutolewa wataona umuhimu wa kuifuta hiyo sheria
Kweli kabisa. Leo VAR wanamwambia refa kuna penati, anaenda kuangalia na kuikataa wakati ingekuwa in favor of Ahly wangepewa.Wazungu wapo.mbele ya mda goli la ugenini ni uonevu pia hupelekea fitina timu ikiwa nyumbani
Imepigiwa kelele miaka kadhaa lakini hawakutaka kufanya chochote hata baada ya ulaya kubadilisha.Tatizo uefa wametangulia kufuta--
Hili goli la ugenini tamu sana yaani first leg wee cheza nyumbani alafu pambana game iishe 0-0. Ugenini wee unakunywa juice tuu ukimkojolea kimoja yeye atafute bao mbiliKama kawaida baada ya timu yao pendwa kutolewa wataona umuhimu wa kuifuta hiyo sheria
Usipofunga utasemaje😀Hili goli la ugenini tamu sana yaani first leg wee cheza nyumbani alafu pambana game iishe 0-0. Ugenini wee unakunywa juice tuu ukimkojolea kimoja yeye atafute bao mbili
hahahImepigiwa kelele miaka kadhaa lakini hawakutaka kufanya chochote hata baada ya ulaya kubadilisha.
Wewe bwana kama unajua boli unajuantuu leo al ahly alikuwa anaonekana tuu anacheua goli maana huwezi ndani ya dakika 10 za 2nd half unaruhusu mtu anapata 3 shots on target alafu wee umekaa tuu huchezi.Usipofunga utasemaje😀
😀😀😀Hili goli la ugenini tamu sana yaani first leg wee cheza nyumbani alafu pambana game iishe 0-0. Ugenini wee unakunywa juice tuu ukimkojolea kimoja yeye atafute bao mbili
Tena bora wao ni nusu fainali, sisi Yanga tulilikosa kombe sababu ya huo ujinga.