choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,289
- 4,093
Sheria ya kiwaki sana hiyoKama kawaida baada ya timu yao pendwa kutolewa wataona umuhimu wa kuifuta hiyo sheria
Sheria ya kiwaki sana hiyoKama kawaida baada ya timu yao pendwa kutolewa wataona umuhimu wa kuifuta hiyo sheria
Na fainali kuwa na mechi mbili ni ungese mwingineTena bora wao ni nusu fainali, sisi Yanga tulilikosa kombe sababu ya huo ujinga.
Na wengepewa Mamelodi mngemtuhumu Motsepe. Nchi ngumu sana hii.Kweli kabisa. Leo VAR wanamwambia refa kuna penati, anaenda kuangalia na kuikataa wakati ingekuwa in favor of Ahly wangepewa.
😄😄😄Ukute yako yana andika barua ya kulalamikia goli la ugenini saiz
Fainali kuwa mechi mbili bado inahitajika katika mazingira ya Africa ambapo mashabiki wengi hawana uwezo wa kusafiri hadi nchi nyingine kuangalia timu yao.Na fainali kuwa na mechi mbili ni ungese mwingine
Mamelodi Sundowns wameshabebwa mara ngapi hadi sasa? Lile goli la Yanga lililokataliwa, jumlisha goli la offside la Peter Shalulile kwenye robo fainali.Kweli kabisa. Leo VAR wanamwambia refa kuna penati, anaenda kuangalia na kuikataa wakati ingekuwa in favor of Ahly wangepewa.
Hii away goal rule iwepo tuu....wee unapaswa utafute goli la ugenini so ina wncourage attacking football. Wao al ahly wasilete somjo, away hawakushambulia, kwao hawakushambulia, wacha watoke.Huwa nasema siku zote match ikiisha droo ya bila kufungana basi mechi ya pili ndo ngumu kuliko ya kwanza na ugumu wake ni haya maswala ya magoli ya ugenini ambapo ni Sheria inayotakiwa iachwe.
Hah hii always ikiwa Iko upande wako ni sherehe lakini vice versa ni maumivu, ilitakiwa ifutwe Ili Kila timu ishinde kwa kujipambania Kwa haki. Hii ni Sheria ya kale Sasa hivi, mbugi ipigwe Hadi mwisho mwenye uwezo ashinde hii itasaidia kwenye mambo mengi hah.Hii away goal rule iwepo tuu....wee unapaswa utafute goli la ugenini so ina wncourage attacking football. Wao al ahly wasilete somjo, away hawakushambulia, kwao hawakushambulia, wacha watoke.
Bottom line wewe unatakiwa kushbulia usinweteke ukweli ni kwamb al ahly both legs didnt do enough to progresssHah hii always ikiwa Iko upande wako ni sherehe lakini vice versa ni maumivu, ilitakiwa ifutwe Ili Kila timu ishinde kwa kujipambania Kwa haki. Hii ni Sheria ya kale Sasa hivi, mbugi ipigwe Hadi mwisho mwenye uwezo ashinde hii itasaidia kwenye mambo mengi hah.
Still Bado goli la ugenini halitoi matokeo ya haki, mfano timu moja Bora inaweza kutolewa na timu mbovu kwasababu tu ya goli la ugenini.Bottom line wewe unatakiwa kushbulia usinweteke ukweli ni kwamb al ahly both legs didnt do enough to progresss
😇😇😇😇😤😤😤Tena bora wao ni nusu fainali, sisi Yanga tulilikosa kombe sababu ya huo ujinga.
Bwana ukiwa timu bora u can win anywhere and score anywhere home or away. Wee ukienda ugenini shambulia utapata goli. Ukibaki nyuma itakula kwako.Still Bado goli la ugenini halitoi matokeo ya haki, mfano timu moja Bora inaweza kutolewa na timu mbovu kwasababu tu ya goli la ugenini.
Tukija kwenye mechi ya jana Ahly Wala si timu Bora sana bali ni uchovu tu wa timu nyingine za afrika huwafanya wao kuwa Bora, in fact Ahly wao ni wazuri sana kwenye transition na Jana hawakuwa na nafasi kubwa ya kufanya hivi, mamelodi walijifunza kutoka goli la kwanza.
Fainali itakuwa balaa.
Point hapo ni kuhusu goli la ugenini, goli la ugenini halina tija Kwa mazingira ya mpira wa kisasa, tunataka kuona haki inatendeka. Magoli ya ugenini yamewafaidisha sana baadhi ya timu, ni wakati wa kuachana nalo, mpira umebadilika siku hizi.Bwana ukiwa timu bora u can win anywhere and score anywhere home or away. Wee ukienda ugenini shambulia utapata goli. Ukibaki nyuma itakula kwako.
Matokeo ya haki yanapatikana kwa wewe kushambulia na kufunga magoli basi, zingine zote porojoz.
Timu zipi hizo zinazofaidika ? Pale sii wote mna home and away match sasa wee unashindwaje kufunga away alafu unalalamika?Point hapo ni kuhusu goli la ugenini, goli la ugenini halina tija Kwa mazingira ya mpira wa kisasa, tunataka kuona haki inatendeka. Magoli ya ugenini yamewafaidisha sana baadhi ya timu, ni wakati wa kuachana nalo, mpira umebadilika siku hizi.
Sasa kama sijafunga goli away ndo iwe sababu ya Mimi kutoka?, kwanini kama tupo suluhu tusiende mpaka mwisho apatikane mshindi?, wachezaji na Kila kitu kipo sawa droo ya magoli tu ndo ilete tabu, ilionekana haingii akilini ndio maana waliotuzidi akili wakaitoa, nitashangaa CAF wakiendelea na huu mfumo Kwa muongo mwingine kuanzia Sasa.Timu zipi hizo zinazofaidika ? Pale sii wote mna home and away match sasa wee unashindwaje kufunga away alafu unalalamika?