Baada ya Al Ahly kutolewa kwa goli la ugenini, tutaona CAF wanabadilisha hiyo sheria

Usipofunga utasemaje😀
Wewe bwana kama unajua boli unajuantuu leo al ahly alikuwa anaonekana tuu anacheua goli maana huwezi ndani ya dakika 10 za 2nd half unaruhusu mtu anapata 3 shots on target alafu wee umekaa tuu huchezi.
Al ahly deserved to be knocked out...over both legs they never took the initiative
 
Tena bora wao ni nusu fainali, sisi Yanga tulilikosa kombe sababu ya huo ujinga.

bila ya hiyo sheria mungetandikwa tena, musijifiche kwenye kichaka cha goli la ugenini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…