Algorithm ya youtube huwa inapunguza idadi ya views hasahasa pale mtu anapoangalia video zaidi ya mara moja au robotic views au views za kijanja,ila huo mfumo wa kupunguza huwa unachelewa kufanya kazi ndio maana inakuwa hivyo. Mfano, Kama watu 1000 wakiangalia video mara 200 (mara 20 kwa siku 10) pale itaandika views 20k ila mfumo ukichuja itarudi kwenye 1k. Kama kuna accoint zisizo eleweka kama ni fake au robotic au ni dormant lazima na zenyewe zitapunguzwa views zake. Youtube hawataki ujanjaujanja wanataka maviewer wa kweli kwa kila video.