Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Nimevumilia hii siku ya nne sasa... Uko youtube vinatokea vitu vya ajabu sana! Ni nini tatizo ni nini kwanini nikifikisha laki 9 viwers wanarudishwa nyuma mpaka laki 8 au 7 hii siku ya nne naona miujiza tu kwenyeaccount yangu. [emoji24]
Nilikuwa 934k now bimerudishwa asubuhi hadi laki 8 ni nini sitak kuhukumu watu naomba watu wa it mnisaidie kuna nini? Why huu mchezo unatokea wa ajabu tatizo ni nini? Na kama ni michezo mibaya ya fitna basi hewalaaaa. [emoji1317]