Raisi wa Somalia ana mkono katika hili yeye pia anatoka katika kabila la MarehaniHamna tishio lolote dhidi ya Kenya kutoka Ugandishu(vikosi vya Uganda ndio vinatawala Mogadishu). Kenya ilishajipanga zamani baada ya kuigawanya Somalia kwa kuanzisha jamhuri mpya ya Jubaland na kumueka kibaraka rais Madobe madarakani. Jubaland ndio eneo ambalo sasa linapakana na Kenya kutoka Kismaayo.
Hata wakiwa zaidi ya serious, bado hawatuwezi hata kidogo, kama hauamini, subiria waanze utahira wao....!Mkuu wako serious na baraka za raisi wa Mogadishu wanazo.
That's why he was denied access to Kenyan airspace during his visit to Rwanda.Raisi wa Somalia ana mkono katika hili yeye pia anatoka katika kabila la Marehani
Kweli kabisaHamna tishio lolote dhidi ya Kenya kutoka Ugandishu(vikosi vya Uganda ndio vinatawala Mogadishu). Kenya ilishajipanga zamani baada ya kuigawanya Somalia kwa kuanzisha jamhuri mpya ya Jubaland na kumueka kibaraka rais Ahmed Madobe madarakani. Jubaland ndio eneo la Somalia ambalo sasa linapakana na Kenya, kutoka Ras Kamboni kuenda Kismaayo hadi Luuq kule Gedo.